• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Serikali yaendelea kuimarisha fuatiliaji utekelezaji kanuni za Afya Mashuleni, Vyuoni na ndani ya jamii

Imewekwa tar.: June 14th, 2020

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais -TAMISEMI anayeshughulikia Afya Daktari Dorothy Gwajima akiwa na jopo la wataalam wako kwenye ziara ya siku tatu katika Mkoa wa Manyara kwa lengo la kufatilia utekelezaji wa Kanuni za Afya kwenye mashule, vyuoni na jamii kwa ujumla kama ilivyoelekezwa kwenye Miongozo ya Wizara ya Afya ikiwemo ya kujilinda na Ugonjwa wa Homa Kali ya Mafua ya Covid 19.

Akiwa katika Ziara hiyo, Naibu Katibu Mkuu amekagua ni mara ngapi maafisa afya na wataalamu wengine wamekuwa wakifika katika taasisi mbalimbali kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa miongozo husika.

Amewataka Maafisa hao  Nchi nzima  kuendelea kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa miongozo husika na kuhakikisha ipo kwenye taasisi zote ikiwa inafikika kwa urahisi na jamii nzima.

Akizungumza na wanafunzi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Nangwa, Naibu Katibu Mkuu ameendelea kuwaasa Watumishi pamoja na Wanafunzi hao kuendelea kutembea kwenye maono makubwa ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ya kuachana na hofu na vitisho na kusonga mbele kwenye utekelezaji wa majukumu ya maendeleo ikiwemo kujiandaa na mtihani wa kidato cha sita huku wakichukua tahadhari zote muhimu zilizoshauriwa na wataalamu wa afya.

""Nataka niwaambie kwamba ugonjwa wa corona umeshadhibitiwa hivyo toeni hofu kabisa ili tuutokomeze jumla".
Amesema, tuendelee kuvaa maono makubwa ya Mhe Rais wetu na hakika tutatokomeza hii corona pamoja na magonjwa mengine yote yatokanayo na kutozingatia kanuni za afya kama kipindupindu na kuharisha kutokanako na kula vitu vichafu kupitia mikono isiyo safi".

"Niwaeleze kuwa, Mhe. Rais katufundisha kuwa wabunifu, kuwa majasiri na kujiamini katika kupambana na adui maradhi na siyo kutumia mbinu zilezile miaka yote bila kujiongeza" .

Amehimiza tujiamini kuwa tunaweza na tumeweza na tutaendelea kuweza daima. Mbali na kuzungumz na wanajumuiya hiyo Dkt. Gwajima pia ametumia wasaa huo kumpongeza Mkuu wa Shule hiyo pamoja na uongozi wote wa Halmashauri chini ya Mkuu wa Wilaya  Mhe. Joseph Mkirikiti kwa kuhakikisha wanafunzi wanapokelewa vizuri na wanaendelea kuwa na afya njema wakiwa na furaha tele na bila hofu yoyote huku wakichapa kazi ya kusoma na kujiandaa na mitihani yao tarehe 29 Juni 2020.

Kwa upande wake Afisa Elimu Mkoa wa Manyara Bw. Samson Alute Hango, amewahakikishia wanafunzi kuwa, shule hiyo ya Nangwa iliyopo Wilayani Hanang kwa sasa inao walimu wakutosha kwa masomo ya Sayansi na ukarabati mkubwa wa miundombinu kumeifanya shule hiyo kuwa na mazingira bora yakujisomea na kujifunzia.

Awali akitoa taarifa ya shule hiyo Mkuu wa shule ya Nangwa Bibi Malongo, alisema walipokea kiasi cha fedha milioni 196 katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 2017/18 na kisha kupokea milioni 562 mwaka wa fedha 2018/19 na zote hizo zilikuwa kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya shule hii kongwe iliyopata kuwekewa jiwe la msingi na Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere mwaka 1976.

"Kwakweli tunaishukuru sana Serikali ya awamu ya tano chini ya Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa jitihada hizi kwani haya yote yametokea katika kipindi chake pamoja na mimi kuhamia hapa toka mwaka 2009." alisema Bibi Malongo.

Naibu Katibu Mkuu akiwa na ujumbe wake katika  shule ya wasichana ya Kidato cha Sita Nangwa amekagua miundombinu ya mabweni, Bwalo la chakula linaloendelea kukarabatiwa, vyumba vya madarasa, mfumo wa maji pamoja na maabara ya fizikia katika shule hiyo.

Aidha, ukarabati wa shule Kongwe nchini ni mpango endelevu unaoendelea kufanywa na serikali ya awamu ya tano shabaha ikiwa ni kuhakikisha mazingira ya kufundisha na kufundishia yanakuwa rafiki kwa wanafunzi.

Na: Atley Kuni- MANYARA

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • TUNZENI VIFAA VYA AFYA VILIVYONUNULIWA NA SERIKALI - DKT. MAHERA

    March 30, 2023
  • REJESHENI MIKOPO ILI WENZENU WAPATE KUKOPA –KAMATI YA LAAC

    March 31, 2023
  • LAAC YARIDHISHWA NA USIMAMIZI WA UKARABATI SHULE YA SEKONDARI WASICHANA MTWARA

    March 31, 2023
  • KAMATI YA LAAC YAKAGUA MADARASA 7 YALIYOJENGWA KWA MAPATO YA NDANI NA NGUVU ZA WANACHI - MANISPAA YA SUMBAWANGA

    March 31, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.