• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Serikali Yaagiza Halmashauri Kusimamia Zoezi la Uwekaji wa Heleni za Mifugo

Imewekwa tar.: August 5th, 2022

Na Fred kibano, Dodoma

Serikali imewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kusimamia kikamilifu zoezi la utambuzi, usajili na ufuatiliaji wa mifugo pamoja na sensa ya mifugo ifikapo Septamba 30 mwaka huu ili kuongeza thamani na kuzuia wizi wa mifugo.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki wakati akifungua maonesho ya Nanenane Jijini Dodoma hivi leo ambapo amezitaka Mamlaka hizo pamoja na Wafugaji kuhakikisha zoezi hilo linakamilika kama ilivyopangwa na Serikali ili kufikia malengo mbalimbali.

“niziombe sana Halmashauri washirikiane na mtoa huduma wa heleni hizi lakini wanao wajibu wa kupata Mkandarasi wa kuweka heleni kwenye Wilaya zao ili zoezi hili likamilike tunapofika tarehe 30 Septemba mwaka huu” alisema Mhe. Mashimba Ndaki.

Amesema zoezi hilo litawasaidia Wafugaji kufuga kibiashara, kuongeza thamani ya mifugo na kuzuia wizi wa mifugo ambao imekuwa moja ya changamoto kwenye Sekta ya mifugo nchini..

Aidha, amewataka wafugaji kushiriki kikamilifu katika sensa ya mifugo ili kujua idadi kamili ya mifugo badala ya kutumia njia ya makadirio ambayo kwa sasa inasema tunao mifugo milioni 30.3, lakini pia amewaasa wafuhgaji kuvuna mifugo ikiwa na siha njema kwa kuwa hali ya malisho hairidhishi kwani mifugo inaweza kufa kwa njaa.

Kuhusu kilimo kwa ujumla wake amesema Serikali imekusudia kutoka kwenye kilimo cha kujikimu kwenda katika kilimo cha kibiashara ambapo ameziasa Taasisi za Utafiti na Vyuo Vikuu kuona namna ambavyo wanaweza kupeleka teknolojia ya mazao yaliyofanyiwa utafiti kwa wananchi kwa wingi pamoja na bei kushusha bei za teknolojia hizo kwa wakulima na wafugaji nchini.

Dkt. Charles Mhina Kaimu Katibu Mkuu (MIFUGO) amesema katika mwaka wa fedha 2022/23 Wizara imepanga kununua pikipiki 1,200 kwa ajili ya Maafisa Ugani ili waweze kuwafikia wakulima mahali walipo na kwa wakati.

Naye Dkt. Rashid Tamatama Katibu Mkuu (UVUVI) amesema katika mwaka huu wa fedha jumla la vizimba vipya 731 vya kufugia samaki vitaandaliwa na kugawiwa kwa wafugaji wadogo kwani ufugaji wa vizimba ndio unaochangia pato kubwa la samaki nchini ambapo inakadiriwa kuwa vizimba hivyo vitaongeza pato la tani 4,000 kwenye soko la samaki.

Awali akimkaribisha Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki, Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema mkoa wa Dodoma kwa mwaka huu 2022 umevuna mazao ya kilimo kwa asilimia 55 kutokana na uhaba wa mvua za masika lakini pia mkoa una eneo la malisho ambalo ni asilimia 29 ya ardhi, pia kuna mifugo milioni 5.64 ambapo mifugo ya asili ni asilimia 90

Senyamule amesisitiza kuwa mkoa wa Dodoma utatumia teknolojia ya ufugaji wa kisasa ikiwa ni pamoja na ufugaji wa samaki kwa lengo la kujikimu kwa zao la samaki.

Kauli mbiu ya maonesho ya mwaka 2022 inasema, "Ajenda 10/30 “Kilimo ni Biashara, Shiriki Kuhesabiwa kwa Mipango Bora ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi”




Matangazo

  • TANGAZO LA KUTWA KAZINI September 13, 2023
  • Terms of Reference TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS PROJECT (TACTIC) September 01, 2023
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI,2023 September 22, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA MPYA 2023 AWAMU YA PILI August 30, 2023
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO KWA SHULE MPYA ZA SEKONDARI,2023 August 25, 2023
  • KUSIMAMISHWA KAZI KWA MKURUGENZI WA BUHIGWE July 12, 2023
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATAALAM WA ELIMU

    September 18, 2023
  • DKT. SAMIA ASHANGAZWA NA HALMASHAURI KUSHINDWA KUJENGA JENGO LA X-RAY

    September 17, 2023
  • SHULE ZA MSINGI 1,000 KUJENGWA NCHI NZIMA

    September 17, 2023
  • TRILIONI 6.5 ZATEKELEZA MIRADI YA ELIMU, AFYA NA MIUNDOMBINU

    September 15, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.