• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Serikali kuboresha waraka wa kudhibiti utoro mashuleni

Imewekwa tar.: December 13th, 2019

Mkurugenzi Msaidizi  Msingi na  uendelezaji  wa Sera, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknojia Mwalimu Yesse Kanyuma amesema Serikali ipo kwenye utaratibu wa kurekebisha waraka wa kudhibiti utoro ambao pamoja na mambo mengine utabainisha wajibu wa kila mdau.

Ameyasema hayo leo jijini hapa wakati wa kufunga Kongamano la 14 la Umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSA).

Manyama amesema ili kudhibiti utoro mashuleni Serikali iko katika hatua za mwisho za kuandaa waraka ambao utatumika kudhibiti utoro wa wanafunzi.

“Tunataka kuja na mkakati wa kuhakikisha tunadhibiti utoro, hivyo tutakuja na waraka ambao utabainisha wajibu wa kila mdau katika hili na pia siku zitapunguzwa zitakuwa kidogo na hazitakuwa siku 90 tena.

Amefafanua kuwa waraka huo utaangalia ni namna gani mwalimu wa darasa, mkuu wa shule, mwalimu wa nidhamu wanaweza kutimiza wajibu wao katika suala zima la usimamizi katika suala zima la utoro katika shule.

Kanyama amesema taarifa zilizopo ni kwamba mtoto anapopotea shuleni wakati mwingine hakuna mawasiliano ya aina yoyote ile aidha, mzazi au kiongozi wa serikali eneo husika ili kujua ni tatizo gani limemsibu mwanafunzi huyu na kama mtoro katika siku zote hizo

“Kumekuwa na pengo kubwa kati ya uongozi wa shule na wazazi au walezi na mtoto mwenye, kwahiyo waraka ukiwa tayari ninyi mtakuwa wasimamizi wakuu, “ amesema Kanyuma.

Amesema suala hilo linakwenda sambamba na wakuu wa shule kuweka hai kamati za nidhamu na ushauri ili kuondoa hali ya sasa ya fukuza fukuza ya wanafunzi.

“Si lengo la Serikali kuwafukuza watoto shule, lengo la Serikali ni kuhakikisha watoto wote wanaodahiliwa wanamaliza masomo yao, kwa kuwa Serikali inapata shida pale mwalimu anapoandaa nyaraka inayotamka mtoto kufukuzwa shule, na hii inaonesha tumeshindwa kutimiza wajibu wa kufanya watoto wamalize masomo yao,” amesema Manyuma

Ameendelea kusema kuwa Serikali haipendi kutoa adhabu kwa wanafunzi ama kuwafukuza shule wanafunzi ambao ni watoro mashuleni bali inataka  utaratubu, kwa kuwa mfumo wa sasa unaotumika haujakidhi mahitaji

Hata hivyo, Kanyuma ametumia fursa hiyo kuwataka walimu wakuu kuhakikisha wanafuata sheria, kanuni na taratibu katika kuendesha shule na kuwa viongozi wazuri wanaowaongoza walimu wenzao ili kuisadia jamii inayoizunguka.

Amesema kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu kutasaidia kuleta ufanisi katika shule zao na kuondoa mlolongo wa mashauri ya walimu kwenye Tume ya utumishi wa Walimu (TAC)

“Haiwezekani mwalimu ana kwenda kinyume na taratibu, humuoni hata mara moja, hii inachangia kuchelewesha au kutotoa maamuzi sahihi katika mashauri ya utovu wa nidhamu yanapofika Tume, Msiwe waogoa katika kutoa maamuzi pale mwalimu anapoenda kinyume na utaratibu” amesema Kanyuma

Naye Kaimu Mkurugenzi Idara ya Elimu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bw. George Jilamba  ameeleza madhumuni ya kongamano hilo na kusema  kuwa  ni kuwajengea uwezo wakuu wa shule za Sekondari nchini kusimamia  sekta ya elimu katika maeneo yao na kuleta mabadiliko.



Matangazo

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SOMO LA TEHEMA LIMERAHISISHA UTOAJI WA ELIMU MASHULENI KUPITIA MEWAKA

    May 19, 2022
  • Bashungwa apongeza ongezeko la Mishahara kwa watumishi nchini

    May 18, 2022
  • WALIMU WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA NA MAFUNZO YA MEWAKA

    May 17, 2022
  • BASHUNGWA ATOA SIKU 30 TARURA KUFANYA USANIFU WA BARABARA YA SUCA - GOLANI ILI IWEKEWE LAMI.

    May 14, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.