• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

OR-TAMISEMI yasisitiza ubunifu kwa elimu bora nchini

Imewekwa tar.: April 13th, 2022

Na Asila Twaha, Arusha

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Gerald Mweli amesema ili Serikali iendelee kuwekeza na kupanga mipango mizuri ya elimu nchini ni lazima watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa waliopewa jukumu la usimamizi wa elimu wasimamie na kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

Hayo ameyasema leo Aprili 11,2022 Jijini Arusha wakati wa kufunga mafunzo elekezi ya maandalizi ya Mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo Awamu ya Pili (EP4R) ambao lengo lake ni kuendelea kuhakikisha suala la elimu linaendelea kuwa kipaumbele nchini.

Mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo Awamu ya Pili Naibu Katibu Mkuu Mweli amesema, ni pamoja ya upimaji wa mwenendo wa elimu nchini ambapo upunguza mdondoko wa wanafunzi.

Aidha, amewaelekeza wasimamizi wa elimu wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kufanya kazi na kuongeza ubunifu wa njia za ufundishaji kwa kuhakikisha suala la usimamizi wa elimu ni kipaumbele kwa kuweka njia nzuri katika ufundishaji wa elimu kwa ujumla.

Amefafanua kuwa,  Ofisi ya Rais - TAMISEMI haiwezi kusema inatekeleza majukumu yake bila ya kuwashukuru ninyi viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa tusimamie utendaji wetu wa kazi kwa kufanya ubunifu katika sekta ya elimu ili tutimize lengo la Serikali kwenye kuona matokeo chanya katika Sekta ya Elimu.

“Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tunamshukuru kwa kuendelea kuweka mazingira mazuri na kwa kuendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo  kuhakikisha suala la elimu linaendele kuwa bora nchini,"amesema Mweli

Kwa upande wa Mkurugenzi wa TEHAMA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Bw. Erick Kitali amesema, Mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo Awamu ya Pili ni kutokana na upatikanaji wa takwimu sahihi suala la elimu linaendana moja kwa moja na taarifa sahihi za wanafunzi na mahitaji ya shule.

Ametoa wito kwa viongozi hao kuhakikisha wanasimamia upatikanaji sahihi kwa kutumia mifumo sahihi ili kuwezesha Serikali kupanga maendeleo mazuri ya elimu.

“Tangu 2016 mpaka sasa takwimu zetu za elimu msingi zimekuwa ni bora sana niwaombe viongozi wenzangu tuendelee na umakini katika ujazaji wa taarifa sahihi katika mfumo wa Annual School Census na SIS ili kuwezesha upatikanaji wa takwimu sahihi,"amesema Kitali

Aidha, ametoa wito kwa viongozi hao katika ujazaji sahihi wa mfumo wa Madeni MIS ya walimu yasiyokuwa mishahara ili iwe ni rahisi kufanyiwa kazi kwa kuzingatia taarifa zilizo sahihi.

Awali mtoa mada  Afisa Elimu Mkuu, Hilda Mkandawire amesema, Mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo Awamu ya Pili umezingatia rasilimali watu zinaelekezwa kwenye Halmshauri zenye uhitaji mkubwa ambapo amesema hii itaendelea kusaidia kutatua changamoto katika maeneo yale yanayoonekana yana changamoto kubwa ya elimu.

Aidha, mafunzo hayo yaliwashirikishwa Wakurugenzi, Makatibu Tawala Mikoa ya Ruvuma, Mtwara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Njombe na Wathibiti Ubora Kanda ya Kaskazini.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.