• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

OR TAMISEMI Yafunga Mwaka kwa Vituo 300 vya Afya kukarabatiwa

Imewekwa tar.: July 3rd, 2018

Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya OR TAMISEMI, Dkt. Zainab Chaula amewashukuru watumishi na wananchi kote nchini kutokana na ushirikiano wanao endelea kuutoa katika zoezi la ujenzi wa vituo vya afya ambapo hadi mwaka wa fedha unakamilika Juni 30, 2018 tayari wamesha karabati vituo 300.

“Asante kwa kutembea pamoja kwa matokeo chanya, tumefunga mwaka na ukarabati wa vituo 300, awamu ya kwanza ilikuwa Mwezi Oktoba, 2017 hadi Machi tulikarabati  vituo 44 kwa fedha za Mfuko wa afya (HBF)” alinukuliwa Naibu Katibu Mkuu

Dkt Chaula alisema katika awamu ya pili iliyoanza Januari hadi Mei, 2018 jumla ya vituo 139 kutoka fedha za Benki ya Dunia ziliwezesha ukarabati na vituo 100 vilikarabatiwa kupitia mfuko wa afya (Health Basket Fund-HBF),

Chaula alifafanua kuwa katika gawio la serikali kutoka benki ya  CRDB ni vituo 39 vimefanikiwa kukarabatiwa, huku taarifa hiyo ikitanabaisha zaidi kwamba, katika awamu ya tatu jumla ya vituo 27 vinaendelea kukarabatiwa, ukarabati ulio anza mwezi Mei na unatarajiwa kukamilika mwezi Novemba, 2018.

Naibu Katibu Mkuu huyo aliongeza kuwa vituo 25 vimekarabatiwa kutoka fedha ya Mfuko wa Afya ilivyovuka mwaka 2016/17 na Vituo 2 vilitokana na fedha za DANIDA kwenye Mikoa 2 yenye Wakimbizi  ya Kigoma na Katavi.

Ameongeza kuwa katika awamu ya nne wamejipanga vilivyo kuhakikisha fedha iliyokwisha toka inafanyiwa kazi.

“Awamu ya Nne vituo vya Afya 89, Zahanati 10 , nyumba 10 za Watumishi sambamba na ukarabati wa Hospitali 5 za Wilaya, fedha yake imetoka mwishoni Mwa Mwezi wa Sita, 2018 na hizi ni fedha za LGDG”. Alisema Dkt Chaula.

Akihitimisha taarifa yake Dkt Chaula amemshukuru Waziri wa Nchi OR TAMISEMI Selemani Said Jafo (Mb) kwa ufuatiliaji na maelekezo yenye tija ya karibu kutoka kwake yeye mwenyewe pamoja na  wasaidizi wake wote, na kusema kwamba, umoja na mshikamano ndio ulio wezesha kupata fedha hizo, huku akihimiza Mamlaka zote za Serikali za Mitaa kuendelea kutumia (Force Account). Lakini pia kuzingatia muda wa majuma 20 uliowekwa katika kukamilisha kazi kulingana na muongozo.


Anaandika  Atley Kuni- OR TAMISEMI

Matangazo

  • Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu Juni 2023 June 05, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI APRILI, 2023 April 12, 2023
  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMUZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA - DODOMA

    May 31, 2023
  • MIKATABA YA UTEKELEZAJI MRADI WA UENDELEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM DMDP 2 YASAINIWA

    May 30, 2023
  • DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA ALAT

    May 30, 2023
  • WANANCHI KIJIJI CHA MAJALILA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA SHULE

    May 23, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.