Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Ondoeni Vikwazo Kuboresha Sekta ya afyamsingi – Dkt. Moleli

Imewekwa tar.: March 27th, 2024

Na. OR-TAMISEMI, Dodoma

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Moleli amezitaka Mamlaka za Serikali ngazi ya Wizara, Mikoa, Halmashauri na Taasisi zinazohusika na Sekta ya Afya kutokuwa kikwazo ili kuchochea uwekezaji kwenye Sekta ya Afya nchini.

Dkt. Moleli ametoa kauli hiyo wakati akifunga mkutano wa kimataifa wa Afya ya Msingi uliofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 27 hadi 27 Machi, 2024 Jijini Dodoma ambao umewaleta pamoja Wadau wa ndani na nje ili kujadili na kubadilishana mawazo kuhusu mafanikio, changamoto na uwekezaji katika afyamsingi kwa lengo la kuboresha huduma za afya kuelekea afya kwa wote Tanzania.

“Sekta Binafsi imesaidia kwa kiwango kikubwa kuipunguzia Serikali mzigo hasa upande wa ajira kwani vijana wengi wameajiriwa kupitia sekta binafsi, hali ambayo sio rahisi kuiachia mzigo Serikali pekee, taste tuliyonayo sio ajira siyo Serikali peke yake” alisema Dkt. Mollel

Dkt. Moleli pia amezitaka Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Afya kufuatilia na kujua ni vijiji vingapi nchini ambavyo havina zahanati ili kuendelea kuboresha afyamsingi nchini lakini pia amewataka wataalam wa wizara hizo mbili kuangalia sheria zinazohusu uanzishwaji wa zahanati ili kuondoa vikwazo kwa wawekezaji kama idadi ya waajiriwa ili kituo kitoe huduma.

Naye Dkt. Wilson Mahera Charles, Naibu Katibu Mkuu (AFYA) Ofisi ya Rais TAMISEMI alisema baadhi ya mapendekezo makubwa yaliyotokana na mkutano huo ni kuhakikisha upatikanaji wa fedha za kutosha kwa afyamsingi, kuongeza bajeti za afya na kukuza mifumo ya Bima za Afya.

Akitoa salamu za Wadau Bi. Agnes Cosia kwa niaba ya Sekta ya Afya binafsi (Christian Social Services Commission) alisema vituo binafsi vimechangia kupunguza vifo vya mama na mtoto, kupunguza kasi ya maambukizo ya vifo vinavyotokana na magonjwa ya mlipuko na kuchangia juhudi za pamoja za Serikali na Wadau wengine kuhakikisha upatikanaji wa afya bora kwa watu.

Dkt. Rashid Mfaume Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais TAMISEMI alisema kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2023 asilimia 78 ya wagonjwa wa nje (OPD) wametoka eneo la afya ya msingi na asilimia 59 ya wagonjwa waliolazwa (IPD) walitoka ngazi ya afya ya msingi lakini pia asilimia 75 ya vituo vya kutolea huduma za afya na asilimia 75 ya huduma za afya za vituo vya Serikali na binafsi inatoka katika afya ya msingi hivyo uwekezaji katika afyamsingi haukwepeki.

Wadau wameipongeza Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Afya kwa kuandaa mkutano huo uliokuwa na kongamano la kujadili na kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya afya, kauli mbiu ya mkutano huo ni ‘huduma ya afya ya msingi ni chombo cha kufikia huduma ya afya kwa watu nchini Tanzania’



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI KUKAMILISHA UJENZI WA VITUO VYA AFYA.

    May 19, 2025
  • MAKATIBU TAWALA WASAIDIZI WAPEWA SOMO USIMAMIZI WA MIRADI NA USULUHISHI WA AKAUNTI

    May 19, 2025
  • Serikali kutumilia Bilioni 208.9 kuwezesha kaya duni laki mbili na elfu 60 kwa miaka sita

    May 15, 2025
  • Naibu Katibu Mkuu Mwambene aendesha kikao kazi kati ya Serikali na Umoja wa Ulaya

    May 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.