Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

MRADI WA UBORESHAJI WA MTO MSIMBAZI UTATATUA CHANGAMOTO ZA MIAKA 100 IJAYO

Imewekwa tar.: November 13th, 2023

OR - TAMISEMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema katika mradi wa Uboreshaji wa Mto Msimbaza unaotegemewa kuanza hivi karibu utatatua changamoto za miaka 100 ijayo na sio baada ya miaka 10 tena tunaanza kukutana na changamoto kama hizi.

Hayo yamesemwa leo tarehe 13.11.2023 wakati wa ziara ya pamoja ya Mawaziri wa Wizara tatu ambazo zimetembelea eneo la Jangwani ambalo limathirika na  mvua zinazoendelea kunyesha baada ya Mto Msimbazi kujaa.

Wizara hizo ni Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Wizara ya Ujenzi pamoja na Wizara ya Fedha.

Amesema tayari Serikali kupitia OR-TAMISEMI imesaini mkataba wa kupata fedha kutoka Benki ya Dunia zitakazo wezesha kutekeleza mradi mkubwa wa uboreshaji wa Bonde la Mto Msimbazi ikiwa ni pamoja na kujenga daraja la juu litakaloanzia eneo la Magomeni hadi njia panda ya Muhimbili (Fire) ambao umepangwa kuanza Februari 2024.

"Katika utekelezaji wa mradi huu lazima tukae wizara zote zinazohusika na wataalamu watupitishe ili tukubaliane namna mradi bora utakaoweza kutatua changamoto za miaka 100 ijayo na sio baada ya miaka 10 tena tunakutana na vitu kama hivi hii sio Sawa."

“Lazima tukiri kwamba waliotushauri tuijenge Jangwani kwa namna ilivyo sasa walitukosea, lakini tukiri makosa huku tukijisahihisha. Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu tayari imesaini mkataba wa utekelezaji wa mradi huo ambapo ujenzi unatarajiwa kuanza mapema iwezekanavyo," alisema Waziri Mchengerwa.

Katika mradi huo TANROAD itahusika moja kwa moja na ujenzi wa daraja hilo na Ofisi ya Rais–TAMISEMI ikihusika uboreshaji wa bonde ikiwa ni pamoja na ujenzi wa kingo za mto, maeneo ya kupumzikia, kupanda miti na kudhibiti maeneo yote yanayozalisha taka ili siziingie kwenye mto.

Wakati huo huo Waziri Mchengerwa amewataka mameneja wa TARURA wa mikoa kuzitumia vyema mvua zinazoendelea kunyesha nchi nzima katika kufanya ukaguzi wa barabara wanazozisimamia ili kubaini sehemu zinazohitaji ukarabati na kuzifanyia kazi kabla hazijaleta madhara.

Ziara hiyo iliyolenga kutathimini athari zilizotokana na mafuriko katika Jiji la Dar es Salaam na mikakati ya muda mrefu ya Serikali ya utatuzi wa changamoto hiyo katika maeneo yanayozunguka Mto Msimbazi.

Katika ziara hiyo Waziri Mchengerwa ameambatana na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa, Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila pamoja na wataalam mbalimbali kutoka TARURA na TANROAD.

Matangazo

  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • MAPEPELE AWANOA MAAFISA HABARI WA TAMISEMI, AWATAKA WAWE WAZALENDO 

    May 26, 2025
  • MAHUSIANO MAZURI  NI NGUZO MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU-MHE.SAGINI

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.