Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

MCHENGERWA APONGEZA MKOA SINGIDA KWA USIMAMIZI MIRADI YA MAENDELEO

Imewekwa tar.: December 13th, 2023

OR-TAMISEMI

WAZIRI Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa, ameupa kongole mkoa wa Singida kwa kusimamia vyema miradi mbalimbali ya maendeleo, inayotekelezwa na katika halmashauri zote Saba za mkoa huo, ikiwemo Ile ya afya, elimu na miundombinu ya Barabara.

Mhe. Mchengerwa ametoa kauli hiyo Desemba 13, 2023, katika ziara yake mkoani Singida, kwa ajili ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo kituo cha Afya cha Kata ya Mtipa ambacho ujenzi wake umetekelezwa kupitia mapato ya ndani ya Manispaa ya Singida, kwa gharama ya zaidi ya Sh. Milioni 500.

"Kipekee niupongeze uongozi wa mkoa wa Singida, chini ya mkuu wa mkoa huu, ndugu yangu Peter Serukamba, nimeridhika na ujenzi huu uliotekelezwa kwa fedha za makusanyo yenu ya ndani, mradi huu ni wa kiwango, naagiza halmashauri zote nchini, ziige Manispaa ya Singida, namna ya kutekeleza miradi kwa fedha za mapato ya ndani," alisema Mchengerwa.

Mradi wa Kituo cha Afya Mtipa, ujenzi wake ulianza mapema mwaka huu kwa fedha za na ukakamilika ndani ya muda, ukiwa na lengo la kuwaondolea adha wananchi wa Kata hiyo, kusafiri umbali mrefu kufuata huduma ya afya, mwendo wa zaidi ya kilomita 15.

Kutokana na juhudi hizo, Waziri Mchengerwa amesema  TAMISEMI imeunga mkono ujenzi huo kwa kuipatia Manispaa ya Singida fedha Sh. Milioni 150/-, ili zitumike kununulia vifaa tiba, kwa ajili ya Kituo hicho cha afya muanza kuhudumia wananchi wa Kata hiyo.

Wakati huo huo Waziri Mchengerwa amekabidhi magari sita mapya, kwa ajili ya halmashauri za mkoa huo, yatakayotumika kusimamia na kufuatilia shughuli za afya mkoani Singida.

Kadhalika Mchengerwa ameagiza Uongozi wa Mkoa wa Singida, kuhakikisha magari hayo, yanatunzwa na kutumika kama ilivyokusudiwa, Ili kutoa huduma Bora kwa wananchi wa mkoa wa Singida.

Kwenye salamu zake za kushukuru, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Kiaratu, alisema pamoja na changamoto mbalimbali zilizopo, lakini amemshukuru Waziri Mchengerwa, kwa Serikali kuipatia Manispaa hiyo Sh. Milioni 150/-, kwa ajili ya kununulia vifaa tiba vya Kituo cha afya Mtipa.

Aidha Kiaratu, aliishukuru pia Serikali kuipatia Manispaa ya Singida, majengo ya iliyokuwa hospitali ya mkoa, ambayo Sasa yamekuwa chini ya Manispaa hiyo, sasa rasmi yakiwa ni hospitali ya Manispaa ya Singida, na hivyo kupunguza adha ya wakazi wa Singida mjini, kukosa huduma za Afya.

Matangazo

  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • MAPEPELE AWANOA MAAFISA HABARI WA TAMISEMI, AWATAKA WAWE WAZALENDO 

    May 26, 2025
  • MAHUSIANO MAZURI  NI NGUZO MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU-MHE.SAGINI

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.