• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Manyara, Shinyanga wang’ara mbio za mita 1500

Imewekwa tar.: June 16th, 2021

Na Mathew Kwembe, Mtwara

Wanariadha Lemarikwa Nguyaki wa Manyara na Salma Charles wa Shinyanga wameng’ara katika fainali za UMITASHUMTA mwaka 2021 baada ya kushinda mbio za mita 1500 kwa wavulana na wasichana katika michezo iliyofanyika leo katika uwanja wa Chuo cha ualimu Mtwara.

Ngoyaki ambaye ni mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Fatimbo wilayani Kiteto alimaliza mbio hizo kwa kuwashinda wanariadha wenzake 12 baada ya kutumia dakika 4:18:12 huku akiwaacha wenzake Ashraka Katambo wa Lindi na Maseta Juma wa Tabora ambao walishika nafasi ya pili na ya tatu.

Aliyeshika nafasi ya nne kwenye mbio hizo ni Mwanafunzi John Agustino wa Manyara na nafasi ya tano ilikwenda kwa Shija Atanas kutoka Simiyu ambaye alimaliza mbio hizo baada ya kutumia dakika 4:23:37

Kwa upande wa wasichana, mwanafunzi Salma Charles ambaye anasoma darasa la saba katika shule ya msingi Iponyahoro Wilayani Ushetu aliwashinda Mirembe Mathias wa Mwanza na Lois Simon wa Mara baada ya kukimbia kwa dakika 4:48:07.

Nafasi ya nne na tano  zilichukuliwa na wanafunzi Kenfiwa Kilasi wa Geita na Aneth Masai wa Kigoma ambao walikimbia kwa dakika 4:55:97 na dakika 4:56:34.

Nafasi ya sita hadi 12 zilichukuliwa na wanariadha Mary Adamu wa Rukwa, Maria Spriani wa Mwanza, Rehema Wilson wa Dodoma, Wende Kijja wa Simiyu, Neema Shija wa Mbeya, Laitnes Msemwa wa Iringa, Winfrida Mwita wa Mara na Ngoo John wa Simiyu ambaye alishika nafasi ya 13.

Kwa upande wa mbio za mita 200 aliyeshinda kwenye fainali ya UMITASHUMTA kwa wavulana ni Immanuel Amos wa Simiyu ambaye alimaliza mbio hizo kwa kutumia sekunde 24: 82 na nafasi ya pili ilishikwa na Adam Ally wa Dodoma na Samwel Yohane wa Singida ambaye alishika nafasi ya tatu.

Kwa wasichana nafasi ya kwanza imechukuliwa na mwanariadha Jeska Leonard ambaye ni mwanafunzi wa shule ya St Patrick Arusha aliyetumia sekunde 28:44 kumaliza mbio hizo na kuwaacha wenzake watano.

Jesca alifuatiwa  na wanafunzi Marysiana Matejo wa Mwanza na Zainabu Masele wa Geita ambao alishika nafasi ya pili na ya tatu.

Nafasi ya nne ilichukuliwa na Jemima Juma wa Dodoma,huku nafasi ya sita ilishikwa na Hadija Saidi wa Tabora na Ashura Ngusa wa Shinyanga ambaye alishika nafasi ya tano.

Katika fainali za kuruka chini kwa wavulana mshindi wa fainali hizo ni Visa Idd wa Mtwara ambaye aliruka urefu wa mita 5:99, na kufuatiwa na Emmanuel Michael wa Kigoma aliyeruka kwa urefu wa mita 5:97 na nafasi ya tatu ilishikwa mwanafunzi Julius Simon wa Arusha ambaye aliruka urefu wa mita 5:87.

Kwa wasichana nafasi ya kwanza ilichukuliwa na Eliza Kelali wa Mara ambaye aliruka urefu wa mita 4:57, na kufuatiwa na Ester Charles wa Singida aliyeruka urefu wa mita 4:30 na nafasi ya tatu ilishikwa na Jenipher Rasalo wa Mara ambaye aliruka urefu wa mita 4:23.

Mashindano ya riadha kwenye UMITASHUMTA inatarajiwa kukamilika kesho ambapo fainali za mita 100 na mbio za kupokezana kijiti zitafanyika.

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • TUNZENI VIFAA VYA AFYA VILIVYONUNULIWA NA SERIKALI - DKT. MAHERA

    March 30, 2023
  • REJESHENI MIKOPO ILI WENZENU WAPATE KUKOPA –KAMATI YA LAAC

    March 31, 2023
  • LAAC YARIDHISHWA NA USIMAMIZI WA UKARABATI SHULE YA SEKONDARI WASICHANA MTWARA

    March 31, 2023
  • KAMATI YA LAAC YAKAGUA MADARASA 7 YALIYOJENGWA KWA MAPATO YA NDANI NA NGUVU ZA WANACHI - MANISPAA YA SUMBAWANGA

    March 31, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.