Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Mabaraza ya Wafanyakazi Yaongeze Tija na Ufanisi Kazini - Kandege Na Fred Kibano

Imewekwa tar.: April 5th, 2019

Serikali imetoa wito kwa watumishi wa Umma hapa nchini kuyatumia mabaraza ya wafanyakazi ili kuongeza ufanisi, maslahi na tija sehemu za kazi hali wakiwahudumia wananchi.

Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya na Miundombinu) Mhe Josephat Kandege kwa niaba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo wakati akifungua kikao cha baraza la wafanyakazi kilichofanyika katika ofisi za OR - TAMISEMI Jijini Dodoma leo.

Mhe. Kandege amesema mabaraza hayo kupitia mikutano yake yaendelee kutoa tija katika maeneo ya kujadili malengo na mipango ya Wizara na Taasisi zake, maboresha ya utendaji kazi wa kila siku pamoja na kutetea maslahi ya Watumishi kwa ujumla.

“umuhimu wa baraza la wafanyakazi ni kutoa fursa kwa watumishi kupitia wawakilishi wao, kujadiliana juu ya masuala mbalimbali ya msingi yanayohusu tija na ufanisi kwa upande mmoja na maslahi yao kama watumishi kwa upande mwingine”

Aidha, Mhe. Kandege amesema Baraza la Wafanyakazi lina wajibu mkubwa wa kuhakikisha kunakuwepo maelewano, ushirikiano na mshikamano kati ya Wafanyakazi na Uongozi wa Taasisi husika na kuhakikisha kunakuwepo na nidhamu ya kazi kwa madhumuni ya kuleta tija na ufanisi katika uendeshaji wa shughuli za Taasisi.

Kwa upande wake Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga, amesema Uwepo wa Mabaraza ya Wafanyakazi pahala pa kazi msingi wake  ni  agizo la Mh. Rais  Na. 1 la mwaka 1970 na pia mchakato wa maandalizi ya bajeti ya OR-TAMISEMI umepitia katika hatua mbalimbali kwa watumishi kushiriki kikamilifu.

Mhandisi Nyamhanga amesema kuwa katika kupanga bajeti za Mikoa na Mamlaka za  Serikali za Mitaa mwaka huu umetumika mfumo wa PLANREP ambao umesaidia kupunguza gharama katika maandalizi ya Bajeti  za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa.  

Amesema tayari  bajeti hiyo imeshawasilishwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa  na itajadiliwa katika kikao hiki cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara ili Watumishi wapate fursa ya  kufahamu nini kilichopangwa kutekelezwa katika mwaka wa  fedha 2019/2020 na kutoa michango ya  mawazo.

Kikao cha baraza hilo kilikuwa mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha Bajeti ya Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2019/2020 na kujadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2018/2019 kwa maana ya taarifa ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2018/19, pamoja na bajeti ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2019/2020.

                                       Anaandika Fred Kibano

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.