Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

MAAFISA VIUNGO WA MIKOA WAAGIZWA KUWASILISHA TAARIFA ZA ILANI YA CCM KUPITIA MFUMO WA ILANI (DASHBOARD) IFIKAPO MWEZI JULAI 2024

Imewekwa tar.: June 8th, 2024

Na Fred Kibano Singida

Maafisa Viungo (Focal persons) wa Ilani wa Mikoa Tanzania Bara wametakiwa kukamilisha na kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa Ilani ya CCM kupitia Mfumo wa Dashboard ifikapo Julai 15, 2024.

Maelekezo hayo yametolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais TAMISEMI Bi. Beatrice Kimoleta wakati akifunga mafunzo na kikao kazi kwa  Maafisa Viungo wa Ilani wa Mikoa Tanzania Bara tarehe 7 Juni, 2024 katika Manispaa ya Singida mkoani Singida ambapo aliwaagiza Maafisa hao kukamilisha taarifa hiyo ya Ilani kwa usahihi, ubora unaokusudiwa na kuziingiza kwenye mfumo na kuwasilisha kwa wakati.  

“kwa kuwa kipindi hiki tunaendelea na maandalizi ya mpango kazi na taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa mwaka 2024, nitumie fursa hii adhimu kusisitiza kuwa taarifa za utekelezaji wa Ilani za Mikoa kwa kipindi cha Januari hadi Juni, 2024 zikamilishwe na kuwasilishwa kupitia mfumo wa Dashboard ifikapo tarehe 15 Julai, 2024” alisema Bi. Kimoleta.

Aliongeza kuwa, kueasilisha taarifa hizi kwa wakati zitatoa  nafasi kwa ngazi za juu kuchambua, kuhakiki na kuandaa taarifa jumuishi kwa umakini na kuwasilisha kwa viongozi ikiwa na ubora unaotarajiwa.

Aidha, amewataka Maafisa hao kuhakikisha kuwa mikoa yao inaandaa vikao kazi na Maafisa Viungo wa Halmashauri zao ili kupitia viashiria vilivyopo na vinavyotakiwa kutekelezwa na Halmashauri ili kuwa na picha ya pamoja ya taarifa na viashiria  vinavyotakiwa kuingizwa katika mfumo. 

Akitoa maelezo ya awali kabla ya hotuba ya mgeni rasmi Bw. Hekima Chengula Mwakilishi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu alisema Ofisi ya Waziri Mkuu ndiyo iliyopewa jukumu la kuratibu usimamizi wa Utekelezaji wa Ilani ya CCM Kitaifa ikishirikiana na Wadau wengine ikiwemo Ofisi ya Rais TAMISEMI hivyo itahakikisha inazifanyia kazi changamoto za Mfumo wa Ilani ili watumiaji waweze kutimiza majukumu yao kwa wakati.

Akitoa neno la utangulizi kabla ya hotuba ya mgeni rasmi Bw. Johnson Nyingi Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema mafunzo hayo yameleta tija kwa washiriki wote kwani uelewa wao umeongezeka lakini pia wamekubaliana aina ya viashiria watakavyovitumia katika Sekta zote na hivyo matarajio ni kuwa uandaaji wa taarifa zote za Ilani ya CCM zitakuwa na ubora zaidi.

Akitoa neno la shukrani -Bi. Susana Ndunguru Mwenyekiti wa Maafisa Viungo wa Ilani Tanzania Bara ameeleza kuwa kikao kazo hiki kimekuwa na manufaa makubwa kwao na kuwa sasa wataandaa taarifa sahihi zaidi, zenye ubora unaotarajiwa na kuzitoa kwa wakati. 

Mafunzo hayo ya siku nne yaliyoandaliwa kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu yalikuwa na lengo la kuwajengea uwezo Maafisa Viungo wa Ilani wa Mikoa kupitia mpango kazi wa utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020 kwa kipindi cha Januari -Juni, 2024 yaliwahusisha Maafisa Viungo wa Ilani wa Mikoa 26, Maafisa Viungo wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam, Wataalam kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wataalam kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 2 May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • MAPEPELE AWANOA MAAFISA HABARI WA TAMISEMI, AWATAKA WAWE WAZALENDO 

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.