Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata Watakiwa kuwa kiungo kizuri cha Serikali katika ngazi ya Msingi

Imewekwa tar.: August 6th, 2024

Na. Fred Kibano, Manyara

Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu Mkoa wa Manyara Bw. Dominic Mbwette amewataka Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata kuwa kiungo kizuri cha Serikali kwenye maeneo yao kwa kukagua na kufuatilia miradi ya maendeleo ili thamani ya fedha za Serikali ionekane.

Bw. Dominic Mbwette ameyasema hayo leo tarehe 6 Agosti, 2024 Mjini Babati wakati akifunga mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata Mkoa wa Manyara kwa kuwaasa kuwa wafuatiliji wazuri kwenye michato yote ya ujenzi wa miradi ya maendeleo kwenye maeneo yao.

“kupata mafunzo ilikuwa ni jambo la muhimu, kwa hiyo sasa, tumepata sababu ya kuwawajibisha, tukiona mradi unalegalega kwenye maeneo yenu, basi tutajua sababu ni uvivu wenu, mradi unapokuwa kwenye Kata yako hata kama fedha zimeenda kwa Mkuu wa Shule, Mkuu wa Kituo cha Afya mnafahamu wajibu wenu ninyi kama Viongozi” alisema Mbette. 

Amesema utaratibu wa kuunda kamati za miradi ya maendeleo upo wazi kuanzia mchakato wa manunuzi, utaratibu wa matumizi ya ‘force account’ kuwa wao pia ni wahusika wakubwa wa miradi na hivyo hawana budi kukagua miradi hiyo na kuifuatilia kwa karibu lakini zaidi kuwa taarifa zote za miradi na kama watashindwa kufanya hivyo basi watawajibika kwa kuwa nyenzo tayari wanazo.

Naye Ibrahim Minja Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema mafunzo hayo ya siku mbili yametolewa na Ofisi ya Rais TAMISEMI kupitia Programu ya Uimarishaji wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Regions and Local Government Strengthening Programme-RLGSP) kwa kushirikiana na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo pamoja na Chuo cha Utumishi wa Umma ambapo jumla ya washiriki wapatao 169 kwa mkoa wa Manyara walitarajiwa kupata mafunzo kati yao Maafisa Tarafa 27 na Watendaji wa Kata 142 lakini Afisa Mtendaji wa Kata mmoja na Afisa Tarafa mmoja hawakuweza kushiriki kutokana na dharura zilizowakabili na matarajio ni kuwa watumishi hao watakwenda kuboresha utendaji wao wa kazi kwenye maeneo yao.

Kwa upande wake Happiness Lushole Afisa Mtendaji wa Kata ya Tumati Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu amesema hapo awali alikuwa hajui vitu vingi lakini baada ya mafunzo ataweza kutoa huduma bora kwa wananchi kuanzia kwenye ofisi yake na Watendaji wa Vijiji anaowasimamia kama vile kuitisha mikutano kwa wakati, kutoa taarifa za mapato na matumizi kwa wakati na kuhimiza ukusanyaji wa mapato ya Serikali kwenye eneo lake.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.