Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

KUWENI NA USHIRIKIANO SABABU UTALETA UFANISI KATIKA UTENDAJI WA MAJUKUMU YENU - MWAMBENE

Imewekwa tar.: January 27th, 2025

Na. OR - TAMISEMI,  Singida

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Bw. Atupele Mwambene amewataka Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa (Elimu) Wakuu wa Divisheni za Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari kuwa na ushirikiano wakati wanatekeleza majukumu kwa sababu utaleta ufanisi mzuri katika kazi zao na itasaidia  kutimiza  malengo yaliyowekwa na Serikali yaweze kufikiwa katika sekta   ya elimu.

Ameyasema hayo leo Januari 27, 2025 wakati akifungua kikao Kazi cha Tathmini ya Utekelezaji wa Shughuli za Elimu katika kipindi cha Julai hadi Desemba, 2024 kwa  Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa (Elimu) Wakuu wa Divisheni za Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari kilichofanyika Mkoani Msingida.

Amesema kukutana kwao kunatoa fursa ya kufanya tafakari ya kina, kujengeana uzoefu, kubadilishana mbinu na kushirikishana katika masuala mbalimbali yanayohusu utendaji kazi na utekelezaji wa maelekezo na shughuli zote za Serikali ndani ya kipindi kifupi na kuboresha malengo ili kuimarisha utekelezaji. 

Mwambene amesema kuwa, Serikali kwa upande wake imefanya jitihada kubwa katika kuimarisha sekta ya elimu hususani katika shule za msingi na sekondari nchini na  amefafanua, baadhi ya mafanikio yake ni kama vile, kuongezeka kwa udahili wa wanafunzi katika ngazi mbalimbali ikiwemo sekondari kufikia 3,087,870 mwaka 2024 na shule za msingi kufikia 11,391,185   mwaka 2024.

Aidha, amewapongeza viongozi hao kwa kusimamia vigezo  walivyowekeana vya kupimana na  utendaji wao mzuri  kwa  kuongeza ufaulu katika mitihani ya kitaifa kwa Darasa la Nne kutoka asilimia 83.3 2023 hadi asilimia 86 mwaka 2024, Darasa la Saba kutoka asilimia 80.58 hadi asilimia 80.87 mwaka 2024,

“Kidato cha Pili kutoka asilimia 85.31 hadi asilimia 85.41 mwaka 2024, na Kidato cha Nne kutoka asilimia 89.36 mwaka 2023 hadi asilimia 92.37 mwaka mwaka 2024’’ amesema

Mwambene ametoa  wito kwa watendaji hao kuendelea   kuyafanyia kazi vizuri na kwa weledi  watakayoyajadili katika kikao hicho kitakachokuwa cha siku tatu ili watakapo rejea kazini kwao  waende  kuwapa ushirikiano na kuwajengea uwezo maafisa waliopo chini yao.

Naye Mkurugenzi, Idara ya Usimamizi wa Elimu, Ofisi ya Rais -TAMISEMI Dkt. Emmanuel Shindika amesisitiza kwa kusema  lengo  la kikao hicho ni kufanya tathmini ya kina ya shughuli za elimu zilizopangwa kwa kipindi cha mwezi Julai hadi Desemba 2024.

Kwa upande wa Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatuma Mganga ametoa wito kwa maafisa hao kila mmoja katika eneo lake akabuni mbinu na utaratibu kwa watoto kupata chakula shuleni  chenye kuzingatia lishe bora sababu  amesema ukosefu wa lishe bora unaweza kusababisha sio tu mwili bali hata kuathiri  mtoto uwezo wake darasani.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.