• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Kituo cha afya Kibakwe kuwa Kituo Darasa cha Maboresho ya Uwajibikaji.

Imewekwa tar.: September 5th, 2019

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Dkt Archard Rwezahura  amesema  kituo cha Afya cha Kibakwe kimeteuliwa kuwa cha mfano wa utekelezaji wa mabadiliko katika utoaji wa huduma bora kwa jamii na kuwa Kituo Darasa kama ilivyofanyika kwenye Kituo cha Afya cha Makole kilichopo Manispaa ya Dodoma.

Ameyasema hayo  wakati akiwa kwenye ziara iliyoongozwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt. Dorothy Gwajima wakati alipotembelea vituo vya kutolea huduma Halmashauri ya Mpwapwa kwa lengo la kujionea maendeleo ya utoaji wa huduma  za afya kwa jamii  pamoja na matayarisho  ya vituo  hivyo katika  kutoa huduma za afya kinga.

Dkt, Rwezahura amesema uamuzi huo umefikiwa kulingana na fursa kubwa zilizopo sasa katika kituo hicho ukilinganisha na awali hususani maboresho makubwa ya miundombinu yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano.

Amesema kuwa, Kituo cha Afya cha Kibakwe ni kituo ambacho kimefanyiwa marekebisho makubwa ya miundombinu ikiwemo majengo ya upasuaji, wodi ya mama na mtoto, maabara, chumba cha kuhifadhia maiti hivyo, fursa kubwa ya kuvutia wateja kwa kuinua uwajibikaji wa watumishi ili maboresho hayo ya wanufaishe wateja na serikali kwa ujumla.

Dkt. Rwezahura ametaja  baadhi ya vigezo ambavyo wamevitumia katika kuteua kituo hicho kuwa cha mfano wa maboresho ya uwajibikaji unaopimika kuwa ni pamoja na uwepo wa miundombinu bora, uwepo wa watumishi wenye sifa, kituo kuwa karibu na kufikika kwa urahisi, uwepo wa dawa na vifaa tiba vinavyohitajika na uwezekano wa kufanya ufuatiliaji wezeshi kwa urahisi.

Ameendelea kufafanua kuwa kwa mazingira haya, inawezekana kuiga mfano wa Kituo cha Afya Makole katika Manispaa ya Dodoma kilichofanikiwa kuinua uwajibikaji wake kwa siku 90 tu na mabadiliko makubwa yakaonekana ikiwemo kupanua wigo wa huduma, kuongeza idadi ya watumiaji wa huduma na kukua kwa mapato ya uchangiaji mara mbili ukilinganisha na awali.

Wakati huohuo Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia afya Dkt. Dorothy Gwajima amewataka watumishi wa kituo hicho kuleta mabadiliko ya uwajibikaji kutoka utendaji wa mazoea kwenda uwajibikaji unaopimika wazi.

“Mwelekeo wa OR -TAMISEMI ni kuwa na vituo bora vya afya ambavyo watumishi wake wanawajibika kwa mwelekeo mpya unaopimika kwa kadri ya rasilimali walizonazo ili, utoaji wa huduma uwe bora na kuvutia wananchi kujiunga na bima ya afya hususani CHF iliyoboreshwa ili kuimarisha uchumi wa sekta ya afya na kupunguza utegemezi kwa serikali kuu” Amesisitiza Dkt. Gwajima.

Dkt. Gwajima anafafanua kuwa, dhamira ya serikali ni kuwa na watumishi wenye kufanya kazi kwa ubunifu na kuvithamini vituo hivyo kama wanavyothamini mali zao, kwa kuweka mikakati ya uwajibikaji wenye kupimika kuanzia mtumishi mmoja mmoja hadi timu nzima kama ilivyowezekana kwenye Kituo cha Afya Makole.

Amesema mikakati shirikishi itakayosimamiwa na wataalamu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa itachochea  na kuchochea kasi ya kuboresha huduma, kuvutia wananchi kujiunga na bima ya afya na kuwa na nguvu ya kiuchumi kwa maendeleo ya sekta ya afya,

  “Tunataka vituo vyote vya kutolea huduma nchini viwe na nguvu ya kiuchumi siyo kwa kutegemea watu waugue bali wananchi wenye afya bora wanaothamini kuchangia bima ya afya ili, pale wanapohitaji huduma wazipate zilizo bora, kwa gharama nafuu tena karibu na makazi yao hivyo, tuwekekeze kwenye uwajibikaji wenye mwelekeo mpya unaopimika hususani, huduma bora kwa mteja”.  Amesema Dkt. Gwajima

Aidha Dkt. Gwajima ametoa siku 90 kwa kituo hicho pamoja na vituo vingine vyote nchini kama ilivyoazimiwa kwenye mkutano wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri kubadili mwelekeo wa kufanya kazi kwa uwajibikaji unaopimwa kama wanavyofanya Kituo cha Afya Makole.

Naye Mganga Mkuu wa Kituo hicho Dkt. Pius Mramba  pamoja na watumishi wote walipokea agizo hilo na kuahidi kutambua fursa zilizopo na kuahidi kuwa, watahakikisha wanakwenda na kasi hiyo na wako tayari kuingia kwenye ushindani wa ubora wa huduma na kupimwa.

Aidha, Vituo vilivyotembelewa ni pamoja na Kituo cha afya cha Kibakwe na Kituo cha afya Rudi kilichopo kilomita 100 toka Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, Mkoani Dodoma.

Na. Angela Msimbira MPWAMPWA



Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.