Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

KATIMBA AWATOA HOFU WANAFUNZI WALIOUNGULIWA NA DARASA UYUI

Imewekwa tar.: July 25th, 2024

Na Angela Msimbira , UYUI

NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Zainabu Katimba amewatoa hofu wanafunzi wa Shule ya Sekondari Lolangulu  iliyopo Wilaya ya Uyui mkoani Tabora ambao walikumbwa na janga la moto kuwa serikali itasaidia katika urejeshaji wa miundombinu.

Akizungumza baada ya kutembelea eneo hilo leo Julai 25,2024 Katimba amesema baada ya kupokea taarifa ya tathmini ya uharibifu uliotokea  wataangalia namna ya kusaidia katika urejeshaji wa miundombinu hiyo.

“Sisi kama Ofisi ya Rais-TAMISEMI na kwa niaba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI naomba niwaambie tu tunatambua adha kubwa ambayo mnakutana nayo. Sasa miundombinu yetu ndiyo kama hivi imepata changamoto nataka niwahakikishie kwamba tunasubiri ripoti ya tathmini ya kina.

“Na sisi kama Ofisi ya Rais Tamisemia tutashirikiana nanyi kuona namna gani tunaweza kuwaunga mkono katika janga hili ambalo mmelipata la uharibifu wa miundombinu ya darasa ambalo imetokana na moto, hivyo ujio wangu utakuwa na faida.”

Aidha, Mhe. Katimba amewaomba  wananchi kuendeleea kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anapambana kuwaletea maendeleo wananchi.

"Ninashukuru kamati ya ulinzi na usalama na wazazi ambao mmesaidia kuzima moto na kuokoa mali za umma zisiendeleee kuteketea zaidi"

Naye, Mkuu wa Shule ya Sekondari Lolangulu, Justine Machage amesema katika tukio hilo hakuna mwanafunzi aliyepata madhara ya kujeruhiwa au kupoteza maisha na chanzo chake hakijabainika.

Amesema vifaa vilivyoteketea ni darasa lenye thamani ya Sh milioni 26, magororo 30 ya wanafunzi wa kidato cha pili na nne ya wavulana, ndoo za kuogea, sare za shule, vitabu, daftari, mabegi ya nguo na masanduku ya kutunzia vifaa vya wanafunzi (trunke).

Awali, Diwadi wa Kata ya Ilolangula Mohamedi Linso amesema baada ya taarifa za moto kuenea wananchi walikusanyika na kuunganisha nguvu za kudhibiti moto uliokuwa unazidi kwa kuvunja ukuta wa vyumba ili kuzie usiendee kwenye vyumba na magengo mengine.

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui, Said Ntahondi amesema halimashauri imechukua hatua za dharura za kuhakikisha wanafunzi hao wanaendelea na kambi

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.