Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Watendaji wa Halmashauri watakiwa kujitathmini utendaji wao wa kazi

Imewekwa tar.: September 24th, 2018

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Mussa Iyombe ameziagiza Halmashauri zote nchini  kuhakikisha wanajitathmini  katika utendaji  wao wa kazi wanapotoa huduma kwa jamii.

 Akitoa mada kwenye Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) nchini ulioanza leo katika ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete jijini Dodoma uliowashirikisha Mameya, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri, Mhandisi Iyombe aliwataka viongozi hao  kuhakikisha wanajibu hoja za Mkaguzi Mkuu wa Serikali pamoja na maelekezo ya Kamati za Bunge kwa wakati ili kila Halmashauri iweze kupata hati safi.

“Serikali imekuwa ikitoa maagizo kuhusu kuhakikisha kila Halmashauri nchini inajibu hoja za Mkaguzi  Mkuu wa Hesabu za Serikali  lakini bado kuna Halmashauri nyingi hazijafanya hivyo, naagiza tena kuwa kila Halmashauri kuacha kulimbikiza hoja za wakaguzi na zihakikishe zinajibiwa kwa wakati,” amesisitiza Mhandisi Iyombe.

Pia Katibu Mkuu amewataka viongozi hao kuhakikisha wanafanya kazi  kwa ushirikiano na kuacha tabia ya kuwagawa watumishi kwa maslahi binafsi badala ya kuangalia maslahi ya jami jambo linalo kwamisha shughuli za jamii

“Ushirikiano mdogo kati ya Wakuu wa Wilaya,Mameya/Wenyeviti wa Halmshauri na Wakurugenzi unachangia kwa kiasi kikubwa kurudisha  nyuma maendeleo katika Halmashauri nyingi nchini hivyo ni vyema wakafuata sheria na taratibu katika kufanya maamuzi katika utendaji kazi wao.

Alisema kuwa kuna baadhi ya Halmashauri viongozi wao wanawagawa watumishi na kuleta majungu katika utendaji kazi jambo ambalo linasababisha kurudisha nyuma maendeleo katika Halmashauri na kushindwa kutoa huduma bora kwa jamii.

“Inasikitisha kukuta kuna watumishi wanaomsikiliza Meya/ Mwenyekiti na wengine kumsikiliza Mkurugenzi wa Halmashauri jambo hili si sahihi kwa kuwa huwezi kuongoza Halmashauri kama hakutakuwa na ushirikiano katika utendaji kazi,’ alieleza Iyomb

 Katibu Mkuu aliwataka viongozi hao kufuata sheria na taratibu pale vikao vya Madiwani vinapotaka kumuazimia mtumishi  kwa kuwa upo utaratibu wa kufuata ili kupunguza migogoro ya kiutumishi.

Pia alisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuhakikisha wanasimamia Mapato na matumizi  ya Halmashauri na kutoa nafasi kwa watumishi  kwa kuwasikiliza  kero zao lengo likiwa ni kujenga mahusiano mazuri katika utendaji kazi wao

“Tengeni muda wa kuwasikiliza kero za watumishi na wananchi inasikitisha mtumishi anakuja mpaka Wizarani kufuatilia kero ambayo ingeweza kutatuliwa katika ngazi ya Halmashauri naagiza kero zote zitatuliwe katika ngazi ya Halmashauri,“ alisisitiza Katibu Mkuu.

Aidha amewaonya Wakurugenzi kutokusita kuwachukulia hatua maafisa Mipango wote  nchini  wanaoshindwa kuandika maandiko ya miradi  ya maendeleo ya kuzisaidia Halmashauri  zao   kwa ajili ya kuongeza  vyanzo vya mapato.

Anaandika  Angela Msimbira OR-TAMISEMI




Matangazo

  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • MAPEPELE AWANOA MAAFISA HABARI WA TAMISEMI, AWATAKA WAWE WAZALENDO 

    May 26, 2025
  • MAHUSIANO MAZURI  NI NGUZO MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU-MHE.SAGINI

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.