• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

KASI NDOGO YA UJENZI WA MADARASA YAMKERA KAIRUKI

Imewekwa tar.: November 21st, 2022

Na. Angela Msimbira, IGUNGA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe.Angellah Kairuki ameonesha kukerwa na kasi ndogo ya ujenzi wa madarasa katika Mkoa wa Tabora.

Kairuki amekutana na kadhia hiyo leo wakati wa kuhitimisha ziara yake ya siku tatu ya kukagua ujenzi wa madarasa yanayojenga kwa ajili ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023 na kubaini Mkoa wa Tabora kuwa nyuma.

Amesema katika ziara yake amebaini kuwa katika halmashauri ya Wilaya ya Uyui ilitakiwa kujenga madarasa 93 na mpaka sasa madarasa 82 yapo nyuma  wakati Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ilitakiwa ujenga madarasa 87 yote yapo nyuma ya kiwango.

Kairuki amesema pia Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua ilipaswa kujenga madarasa 105 lakini madarasa 50 yapo nyuma huku Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge ilipaswa kujenga madarasa 29 yote bado yapo nyuma.

Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Nzega  walitakiwa kukamilisha madarasa 65 huku madarasa  64 yapo nyuma, Halmashauri ya  Mji Nzega 23 yapo mbele, Halmashauri ya Wilaya ya Igunga 64 yapo nyuma, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora madarasa 68 moja lipo nyuma.

Amesema kuwa Serikali ilitoa ukomo wa madarasa haya kukamilika ifikapo Disemba 15, 2022na Halmashauri nyingi zilianza ujenzi mwezi Oktoba,2022 hivyo kiwango cha ujenzi kilichotarajiwa kwa Mkoa wa Tabora kipo chini.

Kutokana na Hali hiyo, Kairuki ameziagiza Halmashauri za Mkoa wa Tabora kuhakikisha zinaongeza kasi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu, dhamani halisi ya fedha izingatiwena taratibu nyingine za ujenzizizingatiwe

Amesema ubora wa kazi umezingatiwa ila zipo dosari ndogo kwa kuwa mafundi wanaotumika hawana ujuzi wa kiwango cha juu, hivyo ni wajibu wa wahandisi wa Halmashauri kuwafuatilia kwa karibu kwa kuwasimamia na kuwapa malezi na kutoa mafunzo zaidi na mbinu mbalimbali ili kuweza kuboresha kazi zao.

Kairuki pia mewaomba viongozi wa chama na Serikali kuendelea  kufuatilia kwa karibu ujenzi wa  vyumba vya madarasa 8000 vinavyoendelea kwa sasa  ili watoto watakaochaguliwa kuweza kuingia wote kujiunga na kidato cha kwanza kwa wakati kwa kuwa ni matarajio ya Serikali shule zitaanza katika wiki ya kwanza ya mwezi Januari 2023.

Aidha, amewaagiza viongozi wa kata hadi Mkoa kuhakikisha wanasimamia kwa karibu na kutatua changamoto zote zinazojitokeza katika utekelezaji wa ujenzi wa vyumba vya madarasa ili kuhakikisha tunafikia malengo ya Serikali.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.