Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Kamati za Afya za Msingi zaagizwa kuandaa mikakati ya kukabiliana COVID-19 (CORONA).

Imewekwa tar.: March 16th, 2020

Na. Majid Abdulkarim

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt. Dorothy Gwajima ameziagiza   Kamati za Afya za Msingi za Mikoa  na Halmashauri kuandaa mikakati madhubuti ya kupambana na tishio la ugonjwa wa COVID-19 (CORONA).

Ametoa maagizo hao hivi karibuni  wakati wa ziara yake ya kikazi katika Halmashauri ya Wilayani  ya Chamwino Mkoani Dodoma kwa lengo la kuangalia uelewa wa wananchi kuhusu  tahadhari dhidi ya  ugonjwa wa huo.

Dkt. Gwajima amesema kuwa Kamati za Afya za Msingi za Mikoa na Halmashauri zote nchini  zinatakiwa kuhakikisha  wanaweka mpango kazi ya  namna bora kuwezesha  uhamasishaji wa jamii juu ya mikakati ya kukabiliana na  ugonjwa wa CORONA ambao umekuwa ni tishio.

"Kuna haja ya kila chombo kwenye mamlaka zote kushiriki kikamilifu katika kutoa elimu juu ya ugonjwa huu kwa jamii anayoiongoza na kuhudumia ili jamii na mtu mmoja mmoja waweze kuchukua tahadhari ya ugonjwa huu na kuzuia usiingie nchini” ameelekeza Dkt Gwajima.

 Dkt. Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa kila  taasisi, maeneo ya  huduma za jamii na kila kaya kuweka sehemu za kunawia mikono na sabuni ikiwa ni sehemu mojawapo ya tahadhari muhimu na kuachana na tabia  ya kusalimiana  kwa kushikana mikono.

“Ili kufanyikisha kuhamasisha jamii kupata uelewa juu ya ugonjwa huu ni vyema kila kiongozi kutekeleza majukumu yake kwa kutumia takwimu kutathmini ufanisi wa kila mkakati ili kuweza kufikia mafanikio makubwa juu ya uchukuaji wa tahadhari juu ya ugonjwa huu”, amesema Dkt. Gwajima.

Dkt. Gwajima amewataka viongozi katika ngazi zote kuhakikisha  kuwafikia wananchi kwa  kutathmini jinsi gani wanatekeleza maelekezo yanayotolewa na wataalamu.

Awali katika ziara hiyo e Dkt. Gwajima amekagua ujenzi wa Hospitali ya Taifa ya Uhuru inayoendelea  kujengwa  katika Halmashauri ya  Wilaya ya Chamwino na kumuagiza msimamizi wa ujenzi huo Gabriel Mkuele kuhakikisha  wanakamilisha ujenzi kwa wakati licha ya kuwa na  changamoto ya hali ya hewa.

Naye Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Best Magoma amesema tayari  Halmashauri  iumeshatenga  maeneo maalum kwa ajili ya  kuwaweka watu watakaobainika kuhitaji uchunguzi zaidi iwapowatabainika kuwa na maambukizi ya virusi vya COVID-

Wakati huohuo wananchi waliyokuwa wakipatiwa huduma katika hospitali ya Mvumi wameiomba Serikali kuhakikisha wanaendelea kutoa elimu kwa  wananchi wote ili kuwajengea uelewa juu ya ugonjwa wa COVID-19(CORONA) ili kila kaya ifahamu vema.

Aidha, Dkt Gwajima amewapongeza wadau wote kwa jinsi wanavyotekeleza kwa kasi kubwa mikakati endelevu ya kuhakikisha wanapambana na kudhibiti  ugonjwa huo ambao ni tishio kwa Taifa.

Ikumbukwe kuwa ugonjwa wa COVID-19 (CORONA) ulianzia katika Taifa la China na mpaka sasa umeenea  katika baadhi ya mataifa japo kwa Tanzania bado haujafika hivyo, kila mtanzania ni wajibu wake kuchukua tahadhari na kujikinga na maambukizi kama wataalamu wanavyo elekeza.



Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.