Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

KAIRUKI ACHUKIZWA NA KASI NDOGO YA UANDIKISHWAJI WA WANAFUNZI BIHARAMURO

Imewekwa tar.: January 18th, 2023

Angela Msimbira, KAGERA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe Angellah Kairuki amekerwa na kasi ndogo ya uandikishaji wa wanafunzi wa kidato cha kwanza, elimu ya awali na elimu ya msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Biharamuro, mkoani Kagera

Kairuki ameyasema hayo  leo Januari, 18, 2023  wakati  akifungua kikao kazi  cha tathmini  ya utekelezaji wa mkakati wa elimu na uwekaji wa mpango kazi  wa utekelezaji  kwa mwaka  kilichofanyika mkoani Kagera.

Amesema takwimu za uandikishaji wa elimu ya awali zinaonesha Mkoa wa Kagera una wastani wa asilimia 82 lakini kuna baadhi ya wilaya ziko nyuma hali inayoonyesha kuwa bado elimu inahitajika kutolewa kwa jamii kuhusu umuhimu wa kuwaandikisha watoto shuleni.

Kairuki amesema katika eneo hilo Halmashauri ya Wilaya ya Biharamuro ina asilmia 56, Manispaa ya Bukoba asilimia 75, Ngara asilimia 78, Muleba asilimia 81, Halmashauri ya Wilaya Bukoba 107, Karagwe asilimia 100, Kyerwa asilimia 86 na Missenyi asilimia 97.

Amesema kuwa kwa upande wa uandikishaji wa darasa la kwanza Mkoa wa Kagera una wastani wa asilimia 89 ambapo Biharamuro imekuwa ya mwisho kwa kuandikisha wanafunzi kwa asilimia 76, Bukoba 101, Manispaa ya Bukoma 96, Karagwe 101, Kyerwa 86, Missenyi 102, Muleba 83 na Ngara asilimia  88.

Kairuki amesema kwa uandikishaji wa kidato cha kwanza bado mkoa umefikia asilimi 46 huku Biharamuro imekuwa ya mwisho kwa kuandikisha wanafunzi kwa asilimia 16, Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba asilimia 62, Missenyi asilimia 20, Karagwe asilimia 50,  Muleba asilimia 63, Ngara asilimia  52, Kyerwa 50 na Bukoba asilimia 43.

Amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Kagera kuhakikisha wanaweka makakati wa kuongeza kiwango cha uandikishaji wa wanafunzi ndani ya muda mfupi ili watoto waandikishwe bila vikwazo.

Kairuki amewaagiza viongozi wa Mkoa wa Kagera kuhakikisha wanaweka mkakati wa kuwashirikisha  viongozi wa Dini,viongozi mashuhuri, viongozi wa kimila na watendaji katika ngazi mbalimbali  za Serikali kuu na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhimiza jamii  kuhusu umuhimu wa kuwaandikisha wanafunzi shuleni.

“Amesema kunakuwa na madhara makubwa pale mtoto anapochelewa kuandikishwa elimu ya awali kwa kuwa inampa mwalimu wakati mgumu kumpima mtoto huyo kwa kuwa tayari anakuta watoto wengine wameanza kujifunza

Ameongeza: “ Serikali itakapoanza kufanya tadhmini ya kuangalia wanafunzi wamefikia kiwango gani cha uelewa lazima kutatokea madaraja baina ya wanafunzi na kuwa naombwe kubwa.”

Pia amewataka kuweka msukumo katika uandikishaji wa wananafunzi wa elimu ya awali na iwekwe kuwa ni ajenda namba moja kwa kila kiongozi ndani ya Halmashauri lengo likiwa ni kufikia  malengo ya asilimia 100

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.