Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Kafanyeni Tohara kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi

Imewekwa tar.: March 4th, 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Selemani Jafo amewataka wanaume ambao hawajafanyiwa tohara katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara nchini kuhakikisha wanajitokeza kufanyiwa Tohara ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya ukimwi nchini

Akizindua magari kwa ajili ya utoaji wa huduma tembezi za Tohara (Maounted mobile Clinic Vans) kwa wanaume leo katika Ofisi za Rais –TAMISEMI, mtumba jijini Dodoma Waziri Jafo amesema kuwa kunafaida kubwa kwa wanaume kufanyiwa tohara.

“Wale ambao hawajapata Twahara, waende wakapate Twahara kwa kuwa uwekezaji huu mkubwa umekuja kwenu, kupata Huduma tembezi za Tohara  ni fursa ya kipekee sana, haijawahi kutokea katika maeneo mengine, tumieni fursa hiyo” amesema Waziri Jafo

Waziri Jafo anaendelea kufafanua kuwa ipo mikoa 16 ambayo inachangamoto kubwa ya maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi kutokana na watu kukosa kufanyiwa tohara,hivyo amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi ili kujikinga na maambukizi ya ukimwi nchini.

Amesema kuwa kutokana na taarifa za wataalam zinavyosema kuwa wale ambao wamepata tohara wanaasilimia kubwa  ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa asilimia 60

“Tohara inasaidia  kupunguza magonjwa ya kuambukiza yanayoendana na ngono  kama kaswende lakini pia inaonekana wazi kwamba waliofanyiwa tohara  wanapata nafuu nyingi sana katika  suala la afya na mazingira yao” anafafanua Waziri Jafo

Amewaagiza waganga wakuu wa Mikoa na Halmashauri katika Mikoa iliyopatiwa magari kufanya uratibu mzuri kwa  kupanga vizuri jinsi magari hayo yatakavyofanya kazi na kuwasaidia wananchi.

Amewataka kuhakikisha wanalinda  na kutunzwa kwa magari  na vifaa vyake, kwa kuwa yamenunuliwa kwa gharama kubwa hivyo ni vyema vikatunzwa na kufanyiwa kazi iliyokusudiwa kwa jamii.

“Si tarajii hata kidogo siku ninatembelea mikoa hiyo nakutana na kitanda kimetolewa kwa matumzi mengine,taa zimetolewa  na wanafanya upasuaji kwa tochi ya simu, sitarajii vifaa vingine ambavyo vimefungwa  ndani ya gari kungolewa na kutolewa” amesisitiza Waziri Jafo

Amewaagiza Makatibu Tawala kuhakikisha wanasimamia fedha zilizotolewa  na Serikali kwa ajili ununuzi wa Dawa na kuwataka waganga wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanasiamamia upatikanaji wa Dawa katika vituo vyote  vya kutolea huduma za afya katika maeneo yao.

Aidha,amewaagiza wakurugenzi kuhakikisha hakuna wananchi wanaolalamika kuhusu ukosefu wa dawa kwenye vituo vyote vilivyoko katika maeneo yao.

Wakati huohuo, Mkurugenzi Mkazi Interhealth International Dkt. Lucy Raymond amasema wanaume zaidi ya 1,820,000 wamepatiwa huduma ya Tohara na watumishi 1,000 wa afya wamepatiwa mafunzo ya utoaji huduma bora za tohara, usimamizi wa ubora na uhifadhi wa takwimu tokea mwaka 2010 hadi sasa.

Dkt. Lucy amesema magari ambayo yatatumiwa kwa ajili utoaji huduma tembezi za Tohara yamenunuliwa kwa ufadhili wa mfuko wa Rais wa Marekani wa kupambana maambukizi ya Virusi vya ukimwi yanavifaa  vyote muhimu vya utoaji huduma ya tohara pamoja na huduma nyingine zikiwemo upasuaji mdogo, uchunguzi wa magonjwa yasiyo ambukiza na vifaa tiba vya huduma za dharura vimewekwa ili kurahisisha upatikanaji wa huduma bora hususani katika maeneo ya pembezoni yasiyo fikika kirahisi.




Matangazo

  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • MAPEPELE AWANOA MAAFISA HABARI WA TAMISEMI, AWATAKA WAWE WAZALENDO 

    May 26, 2025
  • MAHUSIANO MAZURI  NI NGUZO MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU-MHE.SAGINI

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.