• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
    • Machaguo Kidato cha 5 & Vyuo

JAFO: Ukamilishaji wa Ujenzi wa vituo vya afya 210 nchini ni wa kihistoria.

Imewekwa tar.: November 9th, 2018

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amesema kuwa tayari serikali imeshakamilisha  ujenzi wa miundombinu  vituo vya afya 210 na  wakati huohuo vituo vingine  vipo katika hatua za ukamilishaji  na kuwa najumla ya vituo 350 vilivyojengwa  katika Serikali ya awamu ya Tano ya Mhe. John Pombe Magufuli.

Mhe. Jafo ameyasema hayo wakati alipokuwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa vituo vya afya vya Murriet na Kaloleni vilivyopo katika Halmashauri ya Jiji la Arusha leo

Amesema vituo vya afya 350 vimejengwa ndani ya miezi kumi na nane (18) ukilinganisha na vituo vya afya 115 viliyokuwa vikitoa huduma ya upasuaji tangu uhuru hadi mwaka 2015 hivyo ni mabadiliko makubwa katika sekta ya afya.

Amewashukuru Viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Kamati za Ujenzi na wananchi kwa ujumla  kwa kusimamia ujenzi wa miundombinu ya vituo vya afya kwa weledi  na kuhakikisha miundombinu hiyo inakamilika kwa wakati na ubora wa hali ya juu.

“Ninawashukuru Viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Kamati za Ujenzi wa Vituo vya afya, wananchi kwa kuwa kazi kubwa imefanyakika katika ujenzi wa miundombinu ya afya nchini na kuweza kukamilisha ujenzi huo kwa wakati” Anasema Mhe. Jafo

Mhe. Jafo amekiri kuwepo kwa changamoto za upelekeji wa vifaa tiba kwenye Vituo vya afya vilivyokamilika na kuwaagiza MSD kuhakikisha wanapeleka haraka vifaa tiba kwenye vituo vya afya vilivyokamilika ili viweze kutoa huduma kwa jamii.

“Bado kunachangamoto katika upelekaji wa vifaa tiba katika vituo vya afya vilivyokamilika wakati katika ujenzi wa miundombinu kulikuwa na fedha zilizotengwa kwa ajili ya vifaa tiba amabazo zilipelekwa MSD lakini inasikitisha kila eninapopita kwenye vituo vya afya vifaa tiba bado havijafika, hivyo nawaagiza MSD kuhakikisha wanapeleka haraka vifaa tiba katika Vituo vya afya ili viweze kutoa huma kwa wananchi” Anasisitiza Jafo

Mhe. Jafo anasisistiza kuwa haiwezekani kuwa na miundombinu bora ya afya lakini kunakosekana vifaa tiba jambo ambalo linasababisha kukamisha maendeleo na wananchi kutokupata huduma bora za afya na kwa wakati.

Akiongelea kuhusu changamoto ya Vifaa tiba Mhe Jafo amesema kuwa bado kuna changamoto kubwa ya uwpo wa vifaa tiba hivyo amewaagiza MSD kuhakikisha wanaweledi ujenzi na ukarabaati wa vituo vya afya nchini na kuwa kazi ya mfano katika ujenzi wa miundombinu ya afya na kuwa kazi ya mfano nchini.

Wakati huohuo Mganga Mkuu wa Jiji la Arusha Dkt. Simon Chacha  amesema kuwa Ujenzi  na ukarabati wa Kituo cha afya cha  Kaloleni umegharimu shilingi milioni 400 ambapo  hadi sasa ujenzi huo umefikia asilimi 45 na tayari majengo yaliyojengwa ni  jengo la X-Rays, Jengo la Wazazi na Upasuaji, jengo la Kufulia nguo na ukarabati wa miundombinu.

Dkt. Chacha anasema kwa upande wa Kituo cha afya cha Murriet jumla ya shilingi milioni 700,000 zimetumika katika ujenzi wa jengo la wagonjwa, maabara, Jengo la Wazazi, jengo la upasuaji, Chumba cha kuifadhia maiti,, kichomea taka, Mfumo wa kuifadhia maji taka na ujenzi wa barabara ndani ya site lengo likiwa ni kutoa huduma za afya katika maeneo ya jirani kwa kuzingatia idadi ya watu wanaokadiriwa kufikia takriban 56401


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • TANGAZO LA KAZI - TOA July 22, 2022
  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Utekelezaji wa Miradi ya Elimu isimamiwe na kukamilika kwa wakati- Dkt. Msonde

    August 15, 2022
  • UBUNIFU KIVUTIO UMISSETA 2022

    August 15, 2022
  • Bilioni 776.6 zaelekezwa katika ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara vijijini na mijini katika mwaka wa fedha 2022/23

    August 14, 2022
  • TARURA KUONGEZA MTANDAO WA BARABARA ZA LAMI KM 1,450, CHANGARAWE KM 73,242’ ENG. SEFF

    August 14, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.