Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Jafo ateta na Wakurugenzi wapya 41

Imewekwa tar.: August 15th, 2018

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewaagiza Wakurugenzi wapya walioteuliwa hivi karibuni kusimamia nidhamu katika Halmashauri zao.

Ameyasema hayo wakati wa kuapishwa kwa Wakurugenzi wapya wa Mamlaka za Serikali za Mitaa walioteuliwa  hivi karibuni  kwenye ukumbi wa Mikutano REFORM OR-TAMISEMI leo.

Mhe. Jafo amesema mahali popote ambapo kuna maendeleo  lazima nidhamuiwepo hivyo wakurugenzi wanatakiwa kusimamia nidhamu katika Halmashauri zao  ili kutoa huduma sitahiki kwa jamii na kuleta maendeleo katika Halmashauri

‘’Hakunamaendeleo bila kuwa na nidhamu katika utendaji wa kazi kwa kuwa wananchi wanahitaji huduma na huduma haiwezi kupatikana kama watendaji wa Serikali hawatakuwa na nidhamu’’Anasisitiza JAFO.

Amewaagiza Wakurugenzi kuhakikisha watumishi wanatimiza wajibu wao kwa kujua malengo ya Halmashauri zao kwa kufanya kazi kwa weledi  na kutimiza majukumu waliopangiwa kwa wakati ili  kuleta maendeleo.

Amesema kuwa Wakurugenzi wanawajibu mkubwa wa kuhakikisha wanasimamia nidhamu kwenye Halmashauri zao kwa kuwahimiza wafanyekazi kutimiza malengo ya mikakati iliyopangwa katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Amewataka kusimamia ukusanyaji wa mapato  kwa kuwaHalmashauri  haiwezi kwenda bila kukusanya mapato hivyo Wakurugenzi wanatakiwa kuweka kipaombele cha ukusanyaji wa mapato na kuhakikisha mapato yanakusanywa.

‘’Haiwezekani hata kidogo Halmashauri inafika hadi mwisho wa mwaka wa fedha mapato aliyoyapata hayafiki asilimia 50,Hivyo hakikisheni mnatumia mifumo ya kielekroniki katika ukusanyaji wa mapato’’.Anasisitiza Jafo

Mhe. Jafo amesisitiza umuhimu wa kubuni vyanzo vipya vyamapato na usimamizi wa matumizi ya mapato hayoili yaendane na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri.

Mhe. Jafo ameziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanajibu Hoja za Mkaguzi Mkuu wa Serikali  kwa wakati na wahakikishe  kila Halmashauri haipati hati chafu.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Mussa Iyombe amewaagiza  Wakurugenzi walioteuliwa kuitumia nafasi hiyo kikamilifu kwa maslahi ya nchi kwa kutatua kero za wananchi Maskini ili kuleta maendeleo  kwa jamii.

Mhandisi Iyombe amewaagiza Wakurugenzi kusikiliza kero za watumishi wa ngazi za nchini kwa kutatua changamoto zao ili kujenga mahusiano bora katika utendaji kazi katika Halmashauri ili kuleta maendeleo kwa jamii.

“Tatueni kero za wafanyakazi ili kuondoa migogoro katika utendaji kazi wenu na kutengeneza mazingira bora ya kufanyia kazi kwa watumishi” Amesisitiza  Iyombe.

Amesema Mkurugenzi anawajibu wa kusikiliza kero za watumishi kwa haki hivyo  wapange siku ya kusikiliza kero  za watumishi na ili kupata nafasi ya kujua changamoto zao.

Aidha Wakurugenzi wapya 41 wamekula kiapo cha uadilifu  mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Mussa Iyombe.


Anaandika Angella Msimbira


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.