• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Jafo apokea msaada wa vitendea kazi kutoka shirika la John Snow Incorporation (JSI)

Imewekwa tar.: January 23rd, 2020

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amelishukuru shirika la John Snow Incorporation (JSI) chini ya mradi  wa Uimarishaji wa Mifumo ya Afya na Ustawi wa Jamii  kwa kutoa vitendea kazi vyenye dhamani ya shilingi bilioni 2.887 kwa ajili ya utekelezaji wa  shughuli za ustawi wa jamii katika ngazi za Malaka za Serikali za Mitaa.

Akitoa shukrani hizo leo wakati wa hafla fupi ya kupokea pikipiki na vifaa vya wasimamizi wa Mashauri ya watoto ngazi ya jamii, iliyofanyika katika Ofisi ya Rais - TAMISEMI zilizoko Mtumba Jijini Dodoma Mhe Jafo amesema vifaa hivyo ni nyenzo muhimu itakayosaidia utoaji wa huduma bora kwa jamii.

Mhe. Jafo amelipongeza shirika hilo kwa  mchango wao mkubwa  katika kuboresha  utekelezaji wa shughuli za Ustawi wa Jamii kwa njia  ya Uimarishaji  wa mifumo  ya utoaji wa huduma za ustawi wa jamii na kuwajengea uwezo,  nguvu kazi  ya ustawi wa jamii ili waweze kutoa huduma  zenye viwango vya ubora na weledi.

Amewataka wanaokabidhiwa vitendea kazi hivyo kuhakikisha wanatumia kwa malengo yaliyokusudiwa, katika kuimarisha mfumo wa uimarishaji wa Ustawi wa Jamii na kuacha tabia ya kuvitumia vitendea kazi hivyo  kinyume  na malengo yaliyokusudiwa na Serikali.

Amefafanua kuwa vitendea kazi hivyo vitatumika na maafisa ustawi wa jamii katika ngazi ya Halmashauri hivyo ninawaagiza kuhakikisha  vinatumiwa kwa ajili ya kazi iliyopangiwa ili kufikia lengo la kutoa huduma bora kwa jamii.

“Nizitake Halmashauri zote zinazopokea vitendea kazi hivi kuhakikisha wanavitumia kwa kazi iliyopangiwa, mfano Pikipiki zisiende kubeba mkaa  wala kugeuzwa kuwa bodaboda au kufanyakazi binafsi bali zikahudumie kuhudumia jamii.” Amesisitiza Mhe. Jafo

Mhe. Jafo amesema vitendea kazi hivi ni kwa ajili ya kuhakikisha mifumo  ya Ustawi wa Jamii inaimarika  na kuwezesha  kutoa huduma  zenye viwango  vya ubora na kwa weledi katika jamii, hivyo hatuna budi kuvitunza na kuvijali.

Aidha amemuagiza Naibu Katibu Mkuu Afay Dkt Dorothy Gwajima kuhakikisha anaimarisha mifumo ya taarifa katika masuala ya ustawi wa jamii  kuanzia katika ngazi za Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuwezesha Wizara kuwa na taarifa sahihi  kuhusu ustawi wa jamii nchini.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Shirika la John Snow Incorporation  (JCI)  Dkt. Tulli Tuhuma amesema shirika hilo lipo chini ya ufadhili wa watu wa Merekani  kupitia shirika la Marekani  la Maendeleo la Kimataifa- USAID  ambalo limekuwa likifanyakazi na  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa pamoja na Wizara ya Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia  na Watoto.

Dkt. Tuhuma amefafanua amesema kuwa uboreshaji wa Mifumo ya Afya na Ustawi wa Jamii katika ngazi ya jamii unafadhiliwa na  mfuko  wa Dharura wa Rais wa Marekani  ambapo lengo lake kuu ni  kuhakikisha kuwa rasilimali watu  inakuwepo  na  inakuwa na ufanisi mkubwa katika kutoa huduma  za Afya na Ustawi wa Jamii, kwa kuwasaidia  wasichana, watoto  waliokuwa katika mazingira hatarishi , wazee na watu  ambao wanaishi  na virusi vya ukimwi ili kujua hali zao na kuweza kupata matibabu.

Amevitaja  vifaa vilivyokabidhiwa kuwa ni pikipiki 16  zenye dhamani ya shilingi bilioni 2.6  na  makabati  700 yenye dhamani ya shilingi  milioni 287, fulana  7200 , Kofia pamoja na nyenzo  za kukusanyia taarifa  15,800 lengo likiwa ni kutumika  na wafanyakazi  wa Ustawi wa Jamii, , pamoja na  wasimamizi  wa mashauri ya watoto wanaoishi katika mazingira  hatarishi  katika vijiji na mitaa.  

Aidha, Mkurugenzi Mkazi USAID Bi. Kate Somvongsiri amesema kuwa Serikali ya Marekani imedhamiria kuhakikisha kuwa asilimia 90 ya watu wote wanaoishi na Virusi vya Ukimwi wanafahamu hali zao za afya na wanapata tiba na kuwa na VVU iliyofubazwa.




Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.