Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

HUDUMA BORA ZIENDANE NA UWEKEZAJI ULIOFANYIKA - DKT. MAHERA

Imewekwa tar.: July 13th, 2023

OR-TAMISEMI

Serikali imewataka Waganga  Wafawidhi wote nchini   kuboresha utendaji kazi ili kuweza kuendana na thamani ya uwekezaji uliyofanyika kwenye  vituo vya kutolea huduma.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dkt Charles Mahera wakati wa ziara yake ya kikazi ya  kutembelea Kituo cha Afya cha Isansa na Hospitali ya Wilaya ya Mbozi –Vwawa Mkoani Songwe.

Dkt. Mahera amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa pesa nyingi katika kuboresha sekta ya afya nchini ambapo maboresho hayo ni ujenzi wa majengo mapya, ukarabati wa vituo vya afya, ununuzi wa vifaa tiba na dawa.

“Tukifanya kazi kwa kufuata miongozo iliyotolewa na Wizara ya Afya, weledi, maadili na ushirikiano  kwa kuzingatia muda wananchi wataweza kupata huduma bora za afya kutoka ngazi ya msingi  itakayo kuwa sambamba na uwekezaji uliofanywa na serikali yao" ameeleza Dkt. Mahera

Dkt. Mahera ameongeza kuwa watumishi wa Afya wanatakiwa kuzingatia miongozo ya huduma ya  afya pamoja na kujali muda wa kazi ili kuleta ufanisi katika kutoa huduma bora 

Ameeleza kuwa lengo la ziara hiyo ni kuangalia maendeleo ya vituo vya huduma za afya kwa kushirikiana na Wizara ya Afya ambao ndio watunga sera ili kuboresha huduma bora kwa wananchi.

“Naomba watumishi wa Afya muendelee kujituma katika kuwahudumia wananchi kwani serikali iko bega kwa bega na nyinyi katika kuboresha maslahi yenu ili kuwa na mazingira mazuri ya kazi”, amesema  Dkt. Mahera.

Aidha amemuelekeza Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt. Boniface Kasululu kuhakikisha anashirikiana  na Timu za usimamizi na uendeshaji wa huduma za Afya ngazi ya Mkoa na Halmashauri (RHMT na CHMT)   kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa dawa, vifaa tiba na huduma zinazotolewa katika vituo vya kutolea huduma ili kuleta ufanisi wa kazi na kupata takwimu sahihi za mahitaji kwenye vituo vya kutolea huduma za afya.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa watumishi wa afya nchini kutofanya kazi kwa kwa mazoea bali kufuata taratibu za kazi kwa kuzingatia maadili, weledi na viapo vya taaluma zao.

"Sisi wateja wetu ni wananchi wanaokuja kupata huduma, hivyo wahudumiwe kwa wakati, wapate huduma bora, kama mpo na kazi nyingi wapeni taarifa sahihi wagonjwa na ndugu wanaosubiri", amesisitiza Dkt. Magembe

Naye Mkuu wa Programu kutoka Wizara ya Afya kutoka Wizara ya Afya Dkt.Catherine Joachim, amesisitiza watumishi hao kutumia mifumo kwa ufasahaa ili kuleta ufanisi katika utendaji kazi na kwakufanya hivyo itasaidia kusimamia mapato ya vituo vyao


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI KUKAMILISHA UJENZI WA VITUO VYA AFYA.

    May 19, 2025
  • MAKATIBU TAWALA WASAIDIZI WAPEWA SOMO USIMAMIZI WA MIRADI NA USULUHISHI WA AKAUNTI

    May 19, 2025
  • Serikali kutumilia Bilioni 208.9 kuwezesha kaya duni laki mbili na elfu 60 kwa miaka sita

    May 15, 2025
  • Naibu Katibu Mkuu Mwambene aendesha kikao kazi kati ya Serikali na Umoja wa Ulaya

    May 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.