Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Halmashauri 4 zanufaika na Shilingi Bil. 4.1 za kupanga,kupima na kumilikisha ardhi

Imewekwa tar.: June 12th, 2022

Asila Twaha , OR – TAMISEMI

Serikali imetoa kiasi cha shilingi billion 4.1 kwa Halamashauri nne zilizokidhi vigezo kuendeleza programu ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi nchini.

Hafla ya utiaji wa saini wa mikataba ya fedha umefanyika Juni 10, 2022 Jijini Dodoma.

Halmashauri zilizokidhi Vigezo hivyo ni Manispaa ya Kigamboni, Halmashauri ya Wilaya Kishapu, Manispaa ya Lindi na Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino.

Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala wa Mikoa na Serikali za Mitaa(afya)Dkt. Grace Magembe amesema, fedha hizi ni muendelezo wa  awamu ya pili kwa Serikali kuzitoa kwa Halmashauri lengo likiwa Halmashauri kuzitumia kama ambavyo zilivyoelekezwa katika mikataba.

Amesema Halmashauri nyingi bado kuna changamoto ya ardhi kwa kutokupangwa na hii hupelekea kutokea kwa migogoro kati ya wananchi na Halmashauri kitu kinachosababisha kuzorotesha ukusanyaji wa mapato ya Serikali.

“Ardhi ikipimwa wananchi wakijenga kwa mpangilio miji yetu itapendeza na kupangwa vizuri na pia ardhi itakua na thamani na tutapunguza migogoro kati ya Halmashauri na wananchi na Serikali  itapata mapato” amesema Dkt. Grace

Pia amezielekeza Halmashauri hizo kutumia fedha hizo kama zilivyoelekezwa isitokee fedha hizi kuenda kubadilishwa matumizi.

OR- TAMISEMI kwa kushirikiana na wenzetu Wizara ya Ardhi tutazifuatilia lengo la Serikali mzitumie  na kuzirejesha kwa ajili ya Halmashauri nyingine ziweze kufaidika’ alisisitiza.

Awali akisoma hotuba yake Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amesema, katika mwaka wa fedha 2021/22 kupitia programu ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi Serikali ilishatoa shilingi bilioni 50  kwa Halmashauri 54 nchini  na fedha hizo zinapaswa kurejeshwa katika kipindi cha miezi 6.

Akiendelea kufafanua zipo baadhi ya Halmashauri zilizopatiwa mkopo wamepima viwanja lakini mpaka sasa hawajaidhinisha kuuza kwa viwanja, pia amesema zipo Halmashauri wamepatiwa fedha hizo lakini mpaka sasa hawajaanza kuzitumia.

“Halmashauri zilizopatiwa fedha hizo na hawajaanza  kutumia kwa lengo waliloombea tutashirikiana na TAMISEMI kuzirudisha ili wapatiwe wengine lakini pia kwa wale wa awali waliopatiwa zinatakiwa kurejeshwa 30 Juni, 2022” amesema Waziri Mabula

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa(USEMI) Bw. Abdallah Chaurembo ameishukuru Serikali kwa kuridhia na kuendelea kutoa mikopo ya fedha kwa Halmashauri na amezitaka Halmashauri kutumia fedha hizo kwa malengo ili kuondoa hoja zinazotokea pindi kamati zinapoeenda kukagua na kujiridhisha kwa matumizi ya fedha walizopokea.

Amesisitiza Halmashauri kusimamia programu ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi iendane na ukusanyaji wa mapato  ili kuisaidia Serikali sababu lengo la Serikali ni kuzisaidia Halmashuri kujiendeleza wenyewe.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.