Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Halmashauri 30 zanufaika na Mradi wa DADPs

Imewekwa tar.: March 8th, 2022

OR - TAMISEMI

Serikali yazitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa zihakikishe zinafuata utaratibu uliopangwa katika utekelezaji wa Mradi wa DADPs.

Kauli hiyo imetoewa wiki iliyopita Jijini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa wakati akiongea na wataalam wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Wizara ya Kilimo na Wadau kutoka Alliance for a Green Revolution in Africa-AGRA.

Waziri Bashungwa amesema, Mpango wa Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya (DADPs) utasaidia kuongeza uzalishaji na kuongeza mapato lakini pia amesema kwa mwananchi utasaidia kuwa na malengo katika kufanya shughuli za uzalishaji wenye kuleta tija.  

Aidha,  uratibu wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa  “Strengthening Coordination of ASDP II at Local Government Authorities (SCALGA) Waziri Bashungwa amesema, ili kuwezesha Halmashuari zetu kuweza kufanya kazi za kilimo katika kuongeza uchumi wanchi na  kwamwananchi nazielekeza Mamlaka za Serekali za Mitaa kutotumia tofauti maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji.

Pia nawaelekeza Maafisa Ugani ambao nyie ndio wataalam mlioko huko niwaelekeze msimamie kazi zenu na ukiwemo huu Mpango wa Maendeleo ya Kilimo, huu mpango ni sekta ya uvuvi, kilimo na mifugo muhakikishe wananchi wetu wanafanya shughuli zao za uzalishaji na wananufaika nazo.

“Huu Mpango umetupa muongozo  watalaam, mradi huu ni wa awamu ya pili sasa nitoe wito kwa viongozi wenzangu ukianza kutekelezwa tukausimamie ili wananchi tunaoenda kuwasimamia wanakuwa na maslahi nao” amesisitiza Mhe. Bashungwa

Serikali inatambua  kila Halmashauri inampango  wake ila Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo awamu ya pili (ASDP) utaanza kutekelezwa katika Mikoa 12 na Halmashauri 30  Kagera (Muleba, Misenyi na Biharamulo), Kigoma (Kasulu, Kibondo na Kakonko), Katavi (Tanganyika, Mpimbwe na Nsimbo), Rukwa (Kalambo, Nkasi, Sumbawanga DC), Ruvuma (Songea DC, Madaba na Mbinga DC), Njombe (Wanging’mbe, Ludewa), Iringa (Mufindi, Kilolo), Manyara (Babati, Hanang na Kiteto), Arusha (Meru, Karatu na Arusha DC), Kilimanjaro (Hai, Siha na Rombo), Simiyu (Maswa) na Tanga (Kilindi).

Mpango wa Mradi wa “District Agriculture Development Plan” (DADPs) ulizinduliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa tarehe 3 Machi, 2022 Jijini Dodoma.













Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.