• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Geita DC Yaongoza katika matumizi bora ya vyoo.

Imewekwa tar.: March 21st, 2018



Na. Bathromeo C Chilwa -Halmashauri ya wilaya ya Geita

Halmashauri ya wilaya ya Geita imeibuka kidedea katika matumizi safi ya vyoo dhidi ya wilaya za Babati, Karatu, Chato na Kwimba  zilizoshiriki katika mradi wa “Usafi wa mazingira endelevu kwa watu wote” uliokuwa ukisimamiwa na Shirika la maendeleo  la nchini Uholanzi (SNV).

Hayo yameelezwa na Jackson Wandera wakati wa kikao cha wadau  cha kufunga mradi na kuweka mikakati ya kundeleza programu hiyo  ulioshirikisha vijiji 72 kwa muda wa miaka minne kuanzia mwaka 2014 hadi machi 31 mwaka huu kwa vijiji ambavyo vilikua havipo katika Mpango wa Kampeni ya Kitaifa ya Usafi wa Mazingira(NSC).

“Mwaka 2014 hali ya uchafu wa mazingira ilikua mbaya kutokana na  kukosa vyoo safi na bora kwa wakazi wa Geita, ambapo asilimia 24% ya wakazi  wa vijiji hivyo 72 walikua wanajisaida vichakani. Asilimia 65% walikua na vyoo vya kawaida, Asilimia 38% walikua na vyoo bora na asilimia 1%  tu ndio walikua  wananawa mikono yao baada ya kutoka chooni hali iliyopelekea mlipuko wa magonjwa  kama kipindupindu na hii ni sababu kubwa iliyotufanya SNV kuungana nanyi kusaidia jamii ya Geita.” Amesema Wandera

Aidha Wandera ametoa matokeo ya tathimini na kuisifu Halmashauri kupiga hatua na kuondoa tatizo la kujisaidia porini kwa kufikia asilimia 01% ukilinganisha na wakati mradi huu unazinduliwa, Pia wakazi wanaotumia vyoo wamefikia asilimia 95%,wale wenye vyoo bora wamefikia asilimia 87% na wakazi wanaonawa mikono na sabuni  baada ya kutoka chooni  ni asilimia 04%.

Kwa upande wa mwakilishi kutoka Idara ya elimu Msingi Mwalimu Nassuna Henry amesema tayari elimu ya matumizi safi na bora ya vyoo imefika katika shule zote za msingi 176 na inasisitizwa kutumia vyoo vya safi vinavyosaidia kulinda mazingira na kwa gharama nafuu.

Mradi huo ulishirikisha wilaya za Chato, Geita, Kwimba, Babati na Karatu kwa lengo la kusaidia jamii kuimarisha  matumizi bora ya vyoo, Kunawa mikono na sabuni baada ya kutoka chooni na kusisitiza matumizi ya vyoo bora vya safi ambavyo ni vya bei nafuu.

Kikao hicho kilihudhuriwa na wadau mbalimbali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Washirika wa maendeleo kutoka shirika la SNV, Watendaji wa Kata, wadau wa SNV vijijini pamoja na waandishi wa habari.

Source www.geitadc.go.tz

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.