• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Dkt. Gwajima ataka mabadiliko ya kiutendaji kwa watoa huduma za afya nchini

Imewekwa tar.: March 10th, 2019

Naibu Katibu Mkuu  anayeshughulikia Afya kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima ameziagiza kamati za huduma za afya Mkoa (RHMT) na Wilaya(CHMT) kuhakikisha wanasimamia kwa weledi  huduma zinazotolewa katika vituo vya afya nchini.

Ameyasema hayo alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya kukagua utendaji kazi wa vituo vya afya vya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Jijini Dodoma.

Dkt.Gwajima amesema kuwa ni kazi ya Kamati za kutoa huduma za afya nchini kuhakikisha wanasimamia kwa umakini mkubwa huduma ambazo zinapaswa kutolewa kwa wananachi.

“Serikali imejenga miundombinu ya afya nchini kwa sasa lakini wananchi wanachohitaji ni uhakika wa huduma bora za afya ambazo zinakidhi mahitaji  yao hivyo ni vyema kamati hizo zikahakikisha huduma zinaboreshwa katika vituo vyote vya afya nchini” Amesema Dkt. Gwajima

Dkt Gwajima anaendelea kufafanua kuwa  watoa huduma za afya wote nchini wanatakiwa kutumia taaluma walizonazo katika kuwahudumia wananchi  ili kupunguza malalamiko yanayotolewa katika Sekta ya afya

“Watoa huduma za afya nchini wanapaswa kuhakikisha wanakuwa wazalendo, kuwa na huruma na wagonjwa ili kujenga imani kwa wananchi kuwa huduma za afya zimeboreshwa”Anafafanua Dkt. Gwajima.

Ameendelea kusema kuwa kuwepo kwa miundombinu ni jambo la muhimu sana lakini ifike mahali ambapo sekta ya afya ijitathmini kwa kina kama kweli inatoa huduma stahiki kwa jamii  hasa katika  utendaji kazi, hivyo ni wajibu wa kila mmoja kuhakikisha anatumia weledi katika utoaji wa  huduma za afya kwa wananchi.

Amesema kuwa miundombinu ya vituo vya afya nchini imeboreshwa kwa kiwango kikubwa kinachohitajika ni mabadiliko katika utendaji kazi hasa katika utoaji wa huduma kwa jamii ili vituo vya Serikali visiwe magofu.

 “Ili kuongeza idadi ya wateja katika vituo vya afya nchini  lazima kuwepo na ukarimu ,lugha nzuri kwa mteja ,uwajibikaji bila kusahau uzalendo ambavyo hivi vyote vitaleta  chachu katika matokeo bora kwenye utoaji huduma  za afya  kwa jamii” Ameongezea Dkt.Gwajima

Dkt.Gwajima ameviagiza vituo vyote vya afya nchini kuhakikisha wanakuwa ma mpango kazi ambao utawaongoza na kuwawezesha kufanya tathmini ya kilichofanyika kutafutiwa ufumbuzi ili kufikia malengo waliojiwekea kama kituo.

Aidha amewaagiza kudumisha mahusiano mazuri baina ya watumishi katika ngazi ya Zahanati, Kituo cha afya, Halmashauri, Mkoa na Wizarani kwa kuwa kwa mabadiliko yakifanyika kutaongeza uwajibikaji na utoaji wa huduma  bora utaongezeka.  






Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.