• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Dkt. Dugange azitaka Halmashauri kutumia fedha za ujenzi wa vituo vya afya kwa wakati

Imewekwa tar.: December 24th, 2021

Na Fred Kibano, Shinyanga

Serikali imezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha fedha zinazopelekwa kwenye mamlaka hizo zinafanyiwa kazi iliyokusudiwa na kutumika mapema badala na kuziacha kwenye akaunti kwa muda mrefu au kuhusika kwenye mivutano ya mahali pa ujenzi usio na tija kwa wananchi.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa OR-TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange ametoa kauli hiyo wakati akikagua kituo cha afya Ihapa Kata ya Old Shinyanga iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga.

“nitoe wito kwa Halmashauri nyingine kuchukua hatua mapema za utekelezaji wa miradi hii kwa wakati, kwa sababu kumekuwa na baadhi ya Halmashauri ambazo zinapewa fedha, wananchi wanahamu ya vituo hivi vya huduma, wanapata changamoto ya kufuata huduma za afya mbali lakini wanachelewa sana kuanza utekelezaji na fedha zinakaa muda mrefu kwenye akaunti hali wengine wanavutana tujenge wapi”

Dkt. Dugange amewapongeza Viongozi na Watendaji wa Manispaa ya Shinyanga kwa kazi nzuri ambayo imefanyika katika Kituo cha afya Ihapa Kata ya Old Shinyanga kwa kujenga majengo matatu ya maabara, kichomea taka na wagonjwa wa nje ndani ya miezi miwili tangu kupokea fedha.

“nichukue hatua hii kuwapongeza sana sana kwa hatua hii mliyokwishaifanya, ninyi mlipokea milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya afya, lakini mmepokea mwezi wa tisa na sasa tunaongea miezi miwili, mmekwisha paua majengo mpo katika hatua nzuri sana”

Dkt. Dugange amewaasa Viongozi na Watendaji wa Manispaa ya Shinyanga kuanza utaratibu wa kusajili kituo cha afya mapema walau kuanza na huduma za wagonjwa wa nje, kuweka vifaa tiba na kuhamishia baadhi ya watumishi.

kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Shiyanga Yasinta Mboneka amesema Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ilipokea kiasi cha shilingi milioni 500 za fedha za Tozo za miamala ya simu kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kujenga vituo viwili vya afya ambapo milioni 250 kituo cha afya Ihapa na milioni 250 nyingine kituo cha afya Sarawe.

Aidha, wananchi walitoa fidia ya eneo kiasi cha shilingi milioni tano na nguvu za kuchimba msingi ya thamani ya shilingi laki nane ili kuharakisha ujenzi wa kituo cha afya Ihapa kwa lengo la kuondoa changamoto ya kupata huduma umbali wa kilometa 15 katika kituo cha afya Kambarage.

Diwani wa Kata ya Old Shinyanga ameahidi kusimamia kazi zote kwa umakini mkubwa na uongozi wote, kuhakikisha thamani ya fedha inaonekana kwenye majengo yote na pia amewaasa wakazi wa maeneo ya Ihapa kuulinda mradi na kuacha kuchukua kitu chochote.

Naye Mtendaji wa Kata ya Old Shinyanga Kayegi Mayalla amesema uteuzi wa eneo la kujenga mradi ulizingatia urahisi wa wananchi wa kata zote tatu kupata huduma za afya na ujenzi wa mradi unakadiriwa kukamilika tarehe 28 Februari 2021 lakini pia hadi kufikia sasa ujenzi huo umegharimu shilingi 111,345,190 na fedha iliyosalia Benki ni shilingi 138,654,810


Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI APRILI, 2023 April 12, 2023
  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMUZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA - DODOMA

    May 31, 2023
  • MIKATABA YA UTEKELEZAJI MRADI WA UENDELEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM DMDP 2 YASAINIWA

    May 30, 2023
  • DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA ALAT

    May 30, 2023
  • WANANCHI KIJIJI CHA MAJALILA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA SHULE

    May 23, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.