• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Dar, Geita kesho kuchuana vikali fainali ya soka wavulana UMISSETA 2019

Imewekwa tar.: July 2nd, 2019

Na Mathew Kwembe, Mtwara

Timu za mikoa ya Dar es salaam na Geita zimetinga hatua ya fainali ya soka wavulana na zinatarajiwa kuchuana vikali katika mchezo  mkali na wa kusisimua wa fainali utakaochezwa kesho asubuhi kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.

Mchezo huo ambao utashuhudiwa na viongozi mbalimbali wa serikali watakaoongozwa na Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo utahitimishwa na sherehe za kufunga mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA kwa mwaka 2019 katika uwanja wa Nangwanda.

Kabla ya kufanyika kwa mchezo wa fainali, kutachezwa mechi ya kutafuta mshindi wa tatu ambapo aliyekuwa bingwa mtetezi Tanga atapambana na timu ngumu ya Mwanza katika mchezo unaotarajiwa kuchezwa kuanzia saa moja asubuhi katika viwanja vya chuo cha ualimu Mtwara.

Katika michezo iliyochezwa leo, timu ya soka ya mkoa wa Dar es salaam ilifanikiwa kuingia fainali baada ya kuichapa timu ya mkoa wa Mwanza, na bingwa mtetezi Tanga alicheza na Geita katika hatua ya nusu fainali ambapo timu za Dar es salaam na Geita zilifanikiwa kusonga mbele baada ya Dar es salaam kushinda kwa 1-0, huku Geita ikiifunga Tanga kwa mikwaju ya penati  6-5 baada ya kutoka sare 1-1.

Kwa upande wa soka wasichana bingwa ni timu ya kagera amemfunga Mara magoli 3-0, mshindi wa tatu ni  Kilimanjaro baada ya kumfunga mwanza 2-1, 

Kwa upande wa soka maalum bingwa ni  Shinyanga ambaye alimfunga Ruvuma kwa magoli  3-1, huku nafasi ya mshindi wa tatu  ilichukuliwa na Mtwara baada ya kuilaza Dodoma 2-1,

Katika mchezo wa netboli bingwa wa UMISSETA 2019 ni Mwanza ambaye alimfunga Tabora, huku nafasi ya mshindi wa tatu ilichukuliwa na Tanga.

Katika fainali za mpira wa mikono zilizochezwa leo bingwa ni timu za soka za wavulana na wasichana za mkoa wa Mara baada ya kufanikiwa kuzichapa timu za wavulana na wasichana kutoka mkoa wa Morogoro.

Kwa upande wa mpira wa wavu (volleyball) bingwa ni timu ya mkoa wa Mbeya kwa wavulana ambayo iliifunga timu ya mkoa wa Mtwara, na wasichana bingwa ni Mtwara baada ya kuifunga Katavi.

Wakati huo huo tukio la ugawaji medali kwa washindi mbalimbali lilifanyika leo ambao washindi mbalimbali wa riadha mbio za mita 100, 200, 400, 800 na 1500 walipewa medali zao ambapo katika tukio hilo mikoa ya Mwanza na Mara ilitia fora kwa kujizolea medali nyingi.

Tukio la ugawaji medali pia lilishuhudiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga.

Matangazo

  • Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu Juni 2023 June 05, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI APRILI, 2023 April 12, 2023
  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMUZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA - DODOMA

    May 31, 2023
  • MIKATABA YA UTEKELEZAJI MRADI WA UENDELEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM DMDP 2 YASAINIWA

    May 30, 2023
  • DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA ALAT

    May 30, 2023
  • WANANCHI KIJIJI CHA MAJALILA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA SHULE

    May 23, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.