• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Dar es salaam, Mwanza kucheza fainali UMITASHUMTA

Imewekwa tar.: June 16th, 2021

Na Mathew Kwembe, Mtwara

Timu za soka za wasichana kutoka mikoa ya Dar es salaam na Mwanza ndio zitakazokutana katika hatua ya fainali ya UMITASHUMTA mwaka huu baada ya kufanikiwa kuzitoa katika hatua ya nusu fainali timu  kutoka mikoa ya Tabora na Mara.

Timu ya wasichana ya soka kutoka mkoa wa Dar es salaam ilikuwa ya kwanza kuingia fainali hizo baada ya kufanikiwa kuifunga timu ngumu ya Tabora kwa magoli 3-1, huku Mwanza wakiwafunga majirani zao Mara 1-0.

Kwa upande wa soka maalum  timu ya wavulana kutoka mkoa wa Dar es salaam waliwafunga Kilimanjaro 2-0.

Katika mchezo wa nusu fainali Netiboli Mwanza ilifanikiwa kuifunga Songwe 74-32, huku Mara ikiifunga Kigoma magoli 61-35 hivyo fainali ya Netiboli itawakutanisha miamba Mwanza dhidi ya Kigoma.

Kwa upande wa mpira wa mikono matokeo ya nusu fainali yanaonyesha kuwa timu za wasichana kutoka Mwanza itachuana na Morogoro kwenye hatua ya fainali huku kwa wavulana Tanga itapambana na Mwanza.

Mwanza wavulana iliwafunga Katavi 32-30, huku Tanga wakiwatoa kwenye mashindano hayo Rukwa magoli 27-19, na Mara wasichana waliwafunga Katavi magoli 22-4 huku Morogoro wasichana wakiwafunga Shinyanga magoli 14-9.

Kwa mchezo wa mpira wa goli timu za wavulana Morogoro na Rukwa zitacheza fainali huku kwa wasichana Morogoro atachuana na Tanga.

Rukwa wavulana imeingia fainali ya mpira wa goli kwa kuifunga Dodoma magoli 15-9, na Morogoro wavulana imeifunga Tabora magoli 5-3 huku kwa wasichana Morogoro imeifunga Tabora magoli 12-7 na Tanga wasichana iliifunga Mbeya magoli 8-6.

Nafasi ya mshindi wa tatu kwenye mchezo wa mpira wa goli itazikutanisha Dodoma dhidi ya Tabora kwa wavulana na Tabora dhidi ya Mbeya kwa wasichana.

Matokeo ya mchezo wa nusu fainali kwa mpira wa wavu wavulana Mwanza iliifunga Mara seti 3-0 na timu ya wasichana Mtwara imeifunga Katavi seti 3-0.

Fainali ya UMITSHUMTA inatarajiwa kufikia tamati tarehe 18 juni 2021 ambapo washindi mbalimbali watakabidhiwa zawadi zao na vikombe.

Matangazo

  • Majina ya waliopata vibali vya Uhamisho wa Kawaida na Kubadilishana (Januari - Julai 2023) October 14, 2023
  • DMDP Documents October 12, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGIWA SHULE CHAGUO PILI MWAKA, 2023 October 04, 2023
  • TANGAZO LA KUTWA KAZINI September 13, 2023
  • Terms of Reference TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS PROJECT (TACTIC) September 01, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA MPYA 2023 AWAMU YA PILI August 30, 2023
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vyuo vya Serikali vyatakiwa Kujiendesha Kibiashara

    December 08, 2023
  • WATUMISHI WANOLEWA UTEKELEZAJI MRADI WA TACTIC

    December 05, 2023
  • TUZO ZA UBORA WA ELIMU MWAKA 2023

    December 04, 2023
  • OR - TAMISEMI

    December 04, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.