Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

CMT ZAANZA KUJENGEWA UWEZO UTEKELEZAJI WA MPANGO KABAMBE & GIS

Imewekwa tar.: June 26th, 2023

Timu za Menejimenti za Halmashauri nchini zimeanza kupewa mafunzo ya miongozo ya Utekelezaji wa Mipango Kabambe (Mater Plans) na Mfumo ya Taarifa Kijiografia (Geographical Information Systeamas (GIS) ili ziweze kusimamia utekelezaji wa mipango hiyo katika maeneo yao kikamilifu.

Akizungumza katika mafunzo hayo kwa Council Management Team (CMT) ya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Mkuu wa Mkoa Dodoma tarehe 23.06.2023 Afisa Mipangomiji Mwandamizi kutoka Ofisi ya Rais - TAMISEMI Bw. George Joseph Miringay amesema mafunzo hayo yanalengwa kuwezesha Sekreterieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kote nchini kuweka mikakati ya matumizi ya taarifa za Kijiografia (GIS) kwenye kufanya maamuzi sahihi ya kupanga, kugawa, kufikisha rasilimali fedha and huduma stahiki za kijamii kama afya, elimu, maji, barabara kwa wananchi na kuendana na mabadiliko ya teknolojia.

Bw.Miringay amewahimiza washiriki kuhakikisha wanaingiza kwenye Mipango ya Halmashauri Bajeti ya utekelezaji wa Mipango Kabambe iliyopo ili kuwezesha ukuaji salaama na endelevu wa Miji yao.

Miringay amefafanua kuwa Miji ina zaliwa, inakua na kufa, hivyo ni jukumu la menejimenti kuhakikisha kuwa Miji haifi na inakua endelevu kwa kupanga na kuandaa mikakati maalumu ya kiuchumi ya kuendeleza miji yao.

Sambamba na hayo, Bwana Miringay amewataarifu Wajumbe wa CMT ya Chamiwno DC kwamba Halmashauri yao imebeba Majengo ya Ikulu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kufuatia uwekezaji na uendelezaji uliofanyika Ikulu kimakazi, Kimajenzi na kimiundombinu, eneo hilio Ki – Mipangomiji na mujibu wa sharia za Mipangomiji linapaswa kuwa na hadhi ya Kimji. Pamoja na ukweli huo, hadi sasa hadhi ya Halmashauri hiyo kimipangomiji na Ki - Utawala ni ya Kivijiji (Wilaya) hali hii inapelekea ugumu kwenye kuratibu, kutawala na kusimamia ukuaji na uendelezaji wa eneo hilo Ki - Mipangomiji, kimazingira na kupeleka eneo hilo kuendelezwa Ki - Vijiji.

Ili Wilaya ya Chamwino iweze kukua na kuendelezwa kwa viwango CMT ambayo ni Mamlaka ya Upangaji imeshauriwa kutumia uzoefu wa Mpango Kabambe wa Jiji la Biashara na Uwekezaji Kwala ambao umeandaliwa kwenye eneo la Halmashauri ya Kibaha,Kisarawe na Chazinze zenye hadhi ya KiJiji kama ilivyo kwa Chamwino DC.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI KUKAMILISHA UJENZI WA VITUO VYA AFYA.

    May 19, 2025
  • MAKATIBU TAWALA WASAIDIZI WAPEWA SOMO USIMAMIZI WA MIRADI NA USULUHISHI WA AKAUNTI

    May 19, 2025
  • Serikali kutumilia Bilioni 208.9 kuwezesha kaya duni laki mbili na elfu 60 kwa miaka sita

    May 15, 2025
  • Naibu Katibu Mkuu Mwambene aendesha kikao kazi kati ya Serikali na Umoja wa Ulaya

    May 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.