• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Busokelo wapewa Wiki Mbili kujitathmini juu ya Utendaji wao

Imewekwa tar.: December 27th, 2019

Serikali imetoa wiki mbili kwa timu ya Afya ya Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya kutoa maelezo ya kina kwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, kama ina uhalali wa kuendelea na majukumu yao yakusimamia Afya kwenye Halmashauri kutokana na uzembe mkubwa uliobainiwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Daktari Dorothy Gwajima wakati wa ziara yake ya kikazi.

Dkt Gwajima amefikia azma hiyo baada ya kutembelea Hospitali ya Halmashauri (Itete) na kusomewa taarifa ya afya ambayo, haijibu hoja za msingi ikiwemo usimamizi wa fedha, ushirikishwaji wa wajumbe wa timu ya usimamizi katika taarifa za mapato na matumizi ya fedha na utekelezaji wa mipango kwa ujumla.

Aidha, Dkt Gwajima alibaini hakuna taarifa za usimamizi wa vituo wala  muhtasari wa vikao na michache iliyopo haijawahi kuthibitishwa wala haija fuata kalenda ya vikao kwa mujibu wa taratibu

“Hivi inakuwaje Mganga Mkuu wa Halmashauri huna muda na majukumu yako huelewi mambo ya msingi kifupi huna habari” alihoji Dkt Gwajima.  “unao wajumbe wa timu ya afya idadi imekamilika, unao makatibu wa afya wawili, mnavyo vituo 22 tu vya kutolea huduma na vyote vinafikika, halafu hamjui chochote kinachoendelea, kwani mkiingia kazini huwa mnafanya nini hasa? Nako huko stoo ya dawa kumbukumbu haziko vizuri hii inakuwaje na kila siku tunaelimishana?”. Alizidi kuhoji huku akionesha kukerwa na mwenendo wa timu hiyo.

Kufuatia mambo kwenda ndivyo sivyo Naibu Katibu Mkuu alimuagiza Mkurugenzi kwamba ndani wiki mbili Mganga Mkuu Wilaya awe ametoa taarifa ya kina kwake lakini pia taarifa hiyo imfikie Katibu Tawala wa Mkoa pamoja na Katibu Mkuu TAMISEMI, ikitoa sababu za msingi kwa nini wasichulikuwe hatua za kinidhamu kwa kushindwa kutimiza wajibu wao.

Kwa upande wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Busokelo Eston Ngilangwa, amekiri ziara hiyo ya Naibu Katibu Mkuu kumfumbua Macho na kuanzia sasa atatumia mbinu na mikakati hiyo na kufanya suala la dawa kuwa ajenda mtambuka na ya kudumu kwa viongozi wote wa Halmashauri hiyo wanapokutana lakini pia Mkoa.

“Ndugu Naibu Katibu Mkuu kwa kweli mimi umenipa somo jipya ambalo hata kuongea nashindwa niongee nini maana kila ulichokiona hapa hakuna mtu ambaye anaweza kusema amesingiziwa, hivyo naomba kuahidi kufanyia kazi maelekezo yako na nitatoa taarifa mimi mwenyewe” alisema Ngilangwa.

Naye Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Dkt. Ramadhani Hussein, mbela ya Naibu Katibu Mkuu, alikiri kushindwa kusimamia eneo lake la kazi huku akiomba msamaha kwa kushindwa kufanya hivyo na kuahidi kubadili katika utendaji wake.

Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, anayeshughulia Afya, Dkt. Dorothy Gwajima, amekuwa na muendelezo wa Ziara zake kwenye Mikoa mbalimbali nchini kujionea uendeshaji wa shughuli za Afya kwa Ngazi ya Hospitali za Wilaya, Vituo vya Afya pamoja na Zahanati, ambapo kote anakopita amekuwa akisisitiza watumishi wa kubadilika kifikra na kuacha kufanya kazi kwa mazoea kwani katika awamu ya sasa  ya Rais  Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli,  ambaye ameamua Taifa lifikie uchumi wa kati ifikapo 2025, lazima suala la Afya liwe kipaumbele namba moja kwa wananchi.

Na. Atley Kuni- Busokelo- MBEYA.

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • TUNZENI VIFAA VYA AFYA VILIVYONUNULIWA NA SERIKALI - DKT. MAHERA

    March 30, 2023
  • REJESHENI MIKOPO ILI WENZENU WAPATE KUKOPA –KAMATI YA LAAC

    March 31, 2023
  • LAAC YARIDHISHWA NA USIMAMIZI WA UKARABATI SHULE YA SEKONDARI WASICHANA MTWARA

    March 31, 2023
  • KAMATI YA LAAC YAKAGUA MADARASA 7 YALIYOJENGWA KWA MAPATO YA NDANI NA NGUVU ZA WANACHI - MANISPAA YA SUMBAWANGA

    March 31, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.