• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

BASHUNGWA AMHAKIKISHIA RAIS SAMIA KUSIMAMIA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA AFYA NA KUKAMILIKA KWA WAKATI

Imewekwa tar.: June 8th, 2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Hassan Suluhu kuwa   ujenzi wa miundombinu ya kutolea huduma za Afya katika  hospitali  za Wilaya , vituo vya Afya na Zahanati  zote nchini utakamilika kwa wakati na  kwa ubora  zaidi ili wananchi waendelee kupata huduma ya afya  kwa wakati na kwa ubora zaidi.

Bashungwa amesema kuwa kufuatia maelekezo yaliyotolewa na Mhe. Rais kuwa hataki kuona majengo ya hospitali yaliyomalizika kujengwa   kutotumika na  kubaki maboma, Ofisi ya Rais - TAMISEMI inaendelea kutekeleza  maagizo hayo akisisitiza kuwa    ukamilishaji wa majengo ya vituo vya afya  unaambatana  na ununuzi wa  dawa, vitendanishi na   vifaa tiba  pamoja na ajira za  watumishi watakaotoa huduma katika vituo hivyo.

Hayo yamebainishwa tarehe 8 juni 2022,   katika Ziara ya Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani     katika Halmashauri ya Wilaya ya  Biharamuro, Mkoani Kagera.

“ Mhe Rais ulituagiza  Ofisi ya Rais -TAMISEMI kuwa hutaki kuona majengo ya hospitali  yanabaki kuwa  maboma, lakini pia ulituelekeza ujenzi wa  Hospitali hizi, Vituo vya Afya na  Zahanati   lazima ukamilike  ili wananchi wapate huduma, nikuhakikishie  Mhe. Rais ujenzi wa miundombinu hii itakamilika kwa wakati na ubora zaidi” Bashungwa

Aidha, Bashungwa amemshukuru Mhe. Rais kwa  kuwekeza fedha    kwaajili ya  uboreshwaji wa  miundombinu ya kutolea huduma za afya msingi, barabara pamoja na miundombinu ya elimu Msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Biharamiro, Bashungwa amesema  miundombinu hii inakwenda kuboresha maisha ya wananchi wa Biharamuro na Mkoa  wa Kagera kwa ujumla.

Kwa upande mwingine Bashungwa  amesema  kutokana na maelekezo aliyotoa  Mheshimiwa Rais  kuhusiana na  zao la Kahawa  ambalo kwa asilimia kubwa  linalozalishwa  Mkoani  Kagera  maelekezo hayo yameleta  matumani makubwa kwa wakulima  na wafanyabiashara wa zao hilo kwakuwa bei ya kahawa imepanda  hadi kufikia shilingi 3720 kwa kilo.

“Muelekeo uliotoa Mhe, Rais katika zao la Kahawa , matumaini ni makubwa  Mwaka jana  ulifanyika mnada  wa zao la Kahawa aina ya Radika limeuzwa kwa bei ya 3720 haijapata kutokea” Bashungwa



Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • TUNZENI VIFAA VYA AFYA VILIVYONUNULIWA NA SERIKALI - DKT. MAHERA

    March 30, 2023
  • REJESHENI MIKOPO ILI WENZENU WAPATE KUKOPA –KAMATI YA LAAC

    March 31, 2023
  • LAAC YARIDHISHWA NA USIMAMIZI WA UKARABATI SHULE YA SEKONDARI WASICHANA MTWARA

    March 31, 2023
  • KAMATI YA LAAC YAKAGUA MADARASA 7 YALIYOJENGWA KWA MAPATO YA NDANI NA NGUVU ZA WANACHI - MANISPAA YA SUMBAWANGA

    March 31, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.