Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

ZAIDI YA BIL.300 ZIMETUMIKA KUWEKEZA KWENYE MIRADI YA KIMKAKATI YA HALMASHAURI NCHINI - CHEYO

Imewekwa tar.: October 10th, 2024

Na. Asila Twaha OR -TAMISEMI, Dodoma

Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bw. John Cheyo amesema kuanzia mwaka 2017/18 hadi sasa Serikali imeshatoa zaidi ya Sh. Bil. 300 kwa ajili ya kuwekeza katika miradi ya kimkakati inayotekelezwa kwenye Halmashauri nchini.

Amesema Ruzuku hiyo inatolewa na Serikali kwa ajili ya kutekekeza miradi ya kuongeza mapato katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kama vile uwekezaji wa ujenzi wa stendi ya Magufuli katika Manispaa ya Ubungo.

Bw. John Cheyo ameyasema hayo leo Oktoba 10, 2024 mkoani Dodoma wakati akifungua mafunzo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Idara ya Mipango na Uratibu katika Mikoa, Wakuu wa Idara za Mipango na Uratibu, Vitengo vya Fedha na Sheria wa Mamlaka za Serikali za Mitaa  kuhusu matumizi ya Mwongozo wa Uanzishwaji na Usimamizi wa Kampuni Mahsusi za Uendeshaji wa Miradi  ya Vitega Uchumi kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa.

“waataalamu tuliopewa dhamana tuwashauri viongozi wetu kwa kuanzisha miradi yenye kuleta  tija kwasababu wananchi wakiona miradi wanategemea kupata  huduma bora” amesema Cheyo.

Aidha, Bw. Cheyo amesema, Serikali ilitafuta fedha na kuzielekeza kwenye Halmashauri kuangalia fursa zilizopo ili kuanzisha miradi ya kimkakati inayoweza kutekelezwa katika Halmashuri zao na kuwa chanzo cha mapato kitakachoweza kuzisaidia Halmashauri kwa kuongeza ukusanyaji wa mapato lakini pia kupeleka huduma bora kwa wananchi pasina kusubiri fedha kutoka Serikali Kuu.

Bw. Johson Nyingi Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Tawala za Mikoa, Ofisi ya Rais – TAMISEMI amesema, lengo la mafunzo hayo ya siku mbili ni kujenga uelewa na kubadilishana uzoefu kuhusu taratibu za kuanzisha makapuni mahsusi kusimamia vitega uchumi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa na yatafanyika Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara ambapo kwa sasa yameanza kwa Mikoa 9 na Halmashauri 16.

Naye Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mitaji ya Maendeleo Tanzania Peter Malika ameishukuru Serikali kwa kuendelea kushirikiana na kueleza kuendelea kuzisaidia Mamlaka za Serikali za Mitaa kupata   fedha na kutoa mafunzo ili kuongeza wataalumu watakaoweza kusimamia miradi itakayoongeza kupata mapato katika Halamshauri.

Mafunzo kwa wataalamu hao yanayofanyika kwa muda wa siku mbili yanatolewa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF).

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NENDENI MKAITANGAZE SERIKALI.

    May 24, 2025
  • SOKO LA KISASA LA NYAMA CHOMA LAZINDULIWA VINGUNGUTI

    May 24, 2025
  • DKT. Biteko asisitiza wazazi kuthamini nafasi ya familia katika malezi na makuzi ya mtoto.

    May 24, 2025
  • Mhe. Rais Samia amtaka Prof. Nagu kuboresha  huduma ya afya ya msingi.

    May 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.