• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Wekezeni ujenzi wa miundombinu ya madarasa

Imewekwa tar.: September 2nd, 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu amewaomba wadau mbalimbali nchini kuhakikisha wanawekeza katika sekta ya Elimu kwa kujenga  miundombinu ya madarasa  ili kupunguza  uhaba wa  madarasa nchini.

Akiongea katika Maadhimisho ya miaka 40 ya shirika lisilo la kiserikali Word Vision Tanzania yaliyofanyika kitaifa leo Mkoani Dodoma  katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Jijini Dodoma Waziri Ummy amesema kuwa elimu ni kipaombele cha Serikali lakini bado kuna upungufu wa madarasa katika shule zetu za Msingi na Sekondari, upungufu wa waalimu na madawati.

Amesema kuwa takwimu zinaonesha kuwa katika mwaka 2021 wanafunzi wa darasa la saba ni 1,129,129, ambapo mwaka jana ufaulu ulikuwa 82.6 na Serikali inategemea mwaka 2022 ufaulu utaongezeka hadi 83.6 hivyo wanafunzi takribani 944, 855 wanatarajiwa kufaulu na kuanza Kidato cha Kwanza Januari, 2022.

Ameendelea kusema kuwa changamoto iliopo ni kuwa wanafunzi wanaotegemea kumaliza Kidato cha Nne mwaka 2021 ni 422,409 hivyo kuna ongezeko la wanafunzi  522,446 ambao hawatakuwa na vyumba vya madarasa.

Aidha kutoka katika Tozo ya miamala ya mawasiliano tutapokea Shilingi Bil 7 ambazo zitakwenda kujengwa vyumba vya madarasa 560 lakini pia bado tutahitaji vyumba zaidi kwa ajili ya watoto wetu ni vyema wadau wakawekeza katika eneo hilo ili kuunga mkono juhudi za Serikali katika kutoa elimu bora.

Amewataka wadau kuunga mkono juhudi za Serikali  katika kuhakikisha inaboresha miundombinu ya Elimu nchini hasa kwenye ujenzi wa madarasa ya shile za Sekondari kwa lengo la kuhakikisha wanafunzi wanaomaliza darasa la saba  na kuwa na sifa wanajiunga na kidato cha kwanza.

Aidha, Amewataka Wakuu wa Mikoa wote nchini  kuhakikisha wanajenga madarasa hayo kwa wakati na kuacha kujenga  kwa  kuzima moto kusubiri hadi mwisho wa mwaka  ndipo  kuanza kujenga kwa kuwa  idadi ya wanafunzi wanaotegemewa kuanza Kidato cha Kwanza inajulikana hivyo wajiandae mapema.

Aidha amesema kuwa kwa mwaka 2022 hakutakuwa na uchaguzi wa wanafunzi awamu ya pili (Second Selection) kwa kuwa Serikali inataka kuona  watoto wote wanaofaulu kujiunga na Kidato cha Kwanza  wanapata nafasi kwa wakati mmoja.



Matangazo

  • Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu Juni 2023 June 05, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI APRILI, 2023 April 12, 2023
  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMUZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA - DODOMA

    May 31, 2023
  • MIKATABA YA UTEKELEZAJI MRADI WA UENDELEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM DMDP 2 YASAINIWA

    May 30, 2023
  • DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA ALAT

    May 30, 2023
  • WANANCHI KIJIJI CHA MAJALILA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA SHULE

    May 23, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.