Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Waziri Ummy: Ruksa kutoa mikopo kwa vikundi vinavyoanza biashara

Imewekwa tar.: November 22nd, 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa mhe Ummy Mwalimu  amesema hatamuonea aibu Mkurugenzi  wa Halmashauri  ambaye hatatenga na kutoa  fedha kwa ajili  ya kuwawezesha wanawake  kiuchumi kwa kuwa wanawake ndo jeshi la mabadiliko nchini

Akifungua Kongamano la uwezeshaji wanawake kiuchumi na kijamii Mkoa wa Iringa leo  Waziri Ummy amesema  wananwake ndio wanaolea familia, wanasomesha  watoto na kufanya shughuli za maendeleo katika nchi yetu

Amewaelekeza wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini  kutoa mikopo yenye tija  na mikopo itakayowawezesha  kuanzisha viwanda ,kuanzisha  biashara na mikopo itakayowezesha kuongeza ajira  kwa watu wengine, mambo ya kutoa mikopo kiduchu yamepitwa na wakati.

Amesema kuwa  maafisa  maendeleo ya jamii  wanajukumu  la kusimamia  na kutoa ushauri kwa vikundi vya akina mama ili waweze kutumia mikopo waliyopata kwa kujikwamua kiuchumi na kuleta maendeleo katika jamii

Amesema wanawake na vijana wana mawazo mazuri ya kuanzisha biashara zao ila sasa wakipeleka maombi kwenye Halmashauri wanaambiwa na Halmashauri hawawezi kupatiwa mkopo hadi wawe na biashara,lakini  sheria ya fedha  za Serikali  za mitaa na kanuni  za usimamizi wa mikopo  kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu  zinaelekeza mikopo itolewe kwa madhumuni  mawili; ya kuwawezesha wanawake,vijana na watu wenye ulemavu  kuanzisha shughuli zao au kuendeleza shughuli zao

“Wananchi wamekuwa hawapewi mikopo kwa kigezo kuwa mikopo haitolewi kwa vikundi vinavyoanzisha  biashara, hii haina maana ya utoaji wa mikopo lengo ni kutoa mikopo kwa ajili ya kuwakwamua  kiuchumi wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, hivyo ninawaagiza wakurugenzi wa Halmashauri kufuata sheria na taratibu za utoaji wa Mikopo nchini “ amesisitiza Waziri Ummy.

Amesema watu wanamawazo  mazuri ya biashara , wameandika maandiko mazuri ya biashara lakini hawana biashara wanaomba mikopo  wanaambiwa lazima na biashara au  sehemu za kufanyia biashara, ni kinyume na sheria na utaratibu  kwa kuwa kanuni zinasema mikopo itolewe  kwa ajili ya kuanzisha biashara au shughuli za ujasiriamali  na kuendeleza, hivyo ni ruksa kupata mkopo

Amewaelekeza Halmashauri kujiridhisha  na maandiko ya biashara yanayoletwa na wahusika kama yanarudisha fedha zilizoombwa na kazi hiyo inatakiwa kutekelezwa na maafisa maendeleo ya jamii,

Aidha, amezisitiza Halmashauri  kuacha kuweka vikwazo  katika suala zima la utoaji wa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa kupunguza ukiritimba  na kuwazungusha wakopaji kwa kuwa kwa kufanya hivyo ni kurudisha  nyuma maendeleo ya Taifa


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MHE MCHENGERWA AWATAKA MA RC, DC KUONGOZA JOGGING KWENYE MAENEO YAO

    June 14, 2025
  • MANYARA NA MWANZA MABINGWA RIADHA MITA 800 

    June 14, 2025
  • HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU  KATIKA KUANDAA MIRADI YA MAENDELEO- ADOLF NDUNGURU 

    June 13, 2025
  • WAVU KWAENDELEA KUNOGA UMITASHUMTA

    June 13, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.