• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo

Waziri Mkuu aagiza Wakurugenzi kutekeleza mpango wa maendeleo ya Kilimo

Imewekwa tar.: March 2nd, 2022

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Majaliwa ameiagiza Ofisi ya Rais- TAMISEMI kupitia Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha  wanatekeleza Mpango wa Maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi katika Halmashauri zao.

Pia Mhe. Majaliwa ameelekeza Wakurugenzi hao kutenga maeneo ya uwekezaji ili kuwawezesha wananchi kufanya kazi zao za kilimo, ufugaji na ujenzi wa viwanda katika mazingira bora na yanayotambulika.

Akizundua Mipango ya kuendeleza sekta ya Kilimo ya Wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo cha Mipango Jijini Dodoma leo tarehe 3 Machi, 2022 Mhe. Majaliwa amesema utengaji wa maeneo ni kuhimu ili kila mwekezaji anapohitaji eneo ka kuwekeza apate kwa haraka bila urasimu.

Amesema  yapo maeneo ambayo ni makubwa lakini bado yanamilikiwa na watu, Serikali imeshafanya mapitio ya kuyatambua maeneo hayo, hivyo ameziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanasimamia maeneo.

Aidha Waziri Mkuu ameiagiza TAMISEMI  kuandaa utekelezaji wa mikakati madhubuti wa kusimamia utendaji kazi wa maafisa ugani ili kuongeza uzalishaji wa tija katika maeneo ya kilimo.

‘Naafisa ugani wasimamiwe kimalifu na wawezeshee vitendea kazi kama usafiri nk kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao.

Amewataka wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanawapangia kazi maafisa ugani kulingana na fani walizosomea ili kuleta tija na weledi katika utekelezaji wa majukumu yao kulingana na Jiografia ya maeneo yao.

Mhe. Majaliwa ameziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanatenga fedha kutoka katika mapato ya ndani  ili kutekeleza mpango wa maendeleo ya kilimo , mifugo na  uvuvi wa Wilaya  na fedha hizo zitoke kwenye tozo za maeneo hayo ili kutumika kuendeleza mpango huo.


Aidha amewaagiza Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri kuhakikisha wanaongeza usimamizi wa fedha na rasilimali zilizopo kwa kujenga uwezo wa kusimamia utekelezaji wa miradi katika ngazi zilizopo na kubuni vyanzo vingine vya kupata fedha ili kuendeleza miradi ya kilimo katika maeneo yao

Naye,Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuziagiza  Halmashauri zote nchini  kuleta taarifa ya maeneo ambayo wametenga kwa ajili ya uwekezaji.


Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.