• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Waziri Jafo awapa Tano Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Ps3)

Imewekwa tar.: September 14th, 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo (Mb) amepongeza Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta ya Umma (Ps3) kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuimarisha mifumo ya TEHAMA ambayo imepelekea uboreshaji wa huduma bora kwa wananchi kupitia OR-TAMISEMI.

Waziri Jafo ameyasema hayo wakati wa kikao maalum na Uongozi wa Mradi huo kilichofanyika Ofisini kwake Mtaa wa Tamisemi, Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma.

Mhe. Jafo alisema Ps3 mmetuweka katika nafasi nzuri sana haswa katika eneo la Miundombinu ya TEHAMA, mmefanya kazi kubwa katika kila eneo linalohitaji mifumo, mmewajengea uwezo watumishi wetu hakika najivunia sana Ps3 sababu mmeifanya kazi yetu imekua rahisi sasa kupitia mifumo hii.

Zaidi mmekuwa na ushirikino mkubwa sana kila tunapohitaji, mahusiano kati ya TAMISEMI na Ps3 yamekua na kuimarika vya kutosha mmekuwa watu wema, wasikivu na watekelezaji kupitia uongozi wenu makini tumebadili vitu vingi  sana kupitia Mradi wa Ps3 alisisitiza Mhe. Jafo.

“Nimeona leo niwaite rasmi kuwapongeza na kuwashukuru kwa kazi kubwa na nzuri mnayoifanya najua tumekutana mara kwa mara kwenye kazi mbalimbali lakini leo nimeamua iwe maalumu nikutane na Uongozi  niweze kuongea haya ambayo kila wakati nimekuwa nikitamani kuyafikisha kwenu” Aliongeza Jafo.


Jafo aliongeza kuwa Shukrani zangu haziwezi kuja mikono mitupu nitawakabidhi vyeti vya kuthamini mchango wenu mlioutoa katika Ofisi yangu: Cheti kimoja ni kwa ajili ya Shirika la Misaada ya Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ambao ndio wamekua wakitoa Fedha na cheti kingine ni kwa  ajili yenu Ps3 ambao mmekua watekelezaji wa kazi za mradi huu.

“OR-TAMISEMI inajivunia kushirikiana na Ps3 katika kuboresha utoaji wa huduma kwa Wananchi, kazi mnayoifanya imewezesha kuwa na Serikali yenye uwazi, maendeleo endelevu na ustawi wa pamoja” alimalizia Jafo.

Mkurugenzi wa Mradi wa Ps3 Dr. Emmanuel Malangalila ameishukuru Serikali kwa ushirikiano walioupata wakati wote wa utekelezaji wa kazi za mradi wa Ps3.

“Tumefanya kazi katika Sekta mbalimbali na  kazi zetu zimegusa maeneo ya Elimu, Afya, Fedha na hata mpaka kwenye Kilimo na kote huko tumepata ushirikiano ambao ulifanya kazi za mrdai huu kuwa nyepesi na kutekelezeka kwa urahis” Alisema Dr. Malangalila.

Dr. Malangalila aliongeza kuwa Mradi huu unatekelezwa  katika Mikoa 13 Tanzania bara lakini kazi tulizozifanya zimegusa mikoa yote 26 hii imetokana na uhitaji na umuhimu wa kazi za mradi katika kila Mkoa.

Tumefurahi leo Waziri Jafo kutambua mchango wa Ps3 na tunaahidi kuendelea kuboresha kila eneo ambalo tumelifanyia kazi na tunaona bado kuna umuhimu wa kuimarisha zaidi alimalizia Dr. Malangalila.

Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) ulioko chini cha USAID unafanya kazi katika mikoa 13 na Halmashauri 93 Tanzania Bara ukiwa na lengo la kuimarisha huduma za umma kwa njia ya utawala bora, fedha, rasilimali watu, na mifumo ya taarifa.


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BODI YA MIKOPO YA SERIKALI ZA MITAA KUSUKWA UPYA

    January 23, 2023
  • MAKAMU WA RAIS AWAPONGEZA DODOMA JIJI KWA UWEKEZAJI

    January 20, 2023
  • SERIKALA YASISITIZA KILA MMOJA KUTUNZA MAZINGIRA

    January 20, 2023
  • TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKANA NA WADAU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

    January 20, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.