Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Waziri Jafo awapa Rungu Takukuru mkoani Mwanza

Imewekwa tar.: January 6th, 2021

Na Atley Kuni, Sengerema, MWANZA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jafo amemuagiza uongozi wa TAKUKURU mkoani wa Mwanza, kushughulia suala la utata wa ukubwa wa eneo na gharama za ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Sengerema, mkoani Mwanza.

Pia ameutaka kuchunguza suala la ubadhilifu wa mashine za kieletroniki (POS) sambamba na mkanganyiko wa ucheleweshaji wa fidia kwenye eneo la stendi ya magari katika Halmashauri ya Sengerema.

Waziri Jafo amefikia kutoa uamuzi huo mara baada ya Mbunge wa Jimbo la Sengerema Hamis Tabasam kuibuka na kusema taarifa aliyowasilishwa kwake ilikuwa ya uongo.

Tabasam alibainisha mbele ya Waziri Jafo kuwa ukubwa halisi wa eneo la hospitali ni ekari 53, ili hali katika taarifa aliyosomewa Mhe. Waziri ikionesha kuwa ni ekari ekari 41.

Mbali ya utata juu ya ukubwa wa eneo la hospitali, katika eneo hilohilo la Hospitali, likaibuka sakata la mkanganyiko wa malighafi zilizotumika katika jengo hilo, na ubora wa jengo, hali iliyomsukuma Waziri Jafo kuingia kazini kwa kufanya baadhi ya vipimo kwa ajili yakujiridhisha na ubora wa jengo husika.

Suala lingine lililoibuka ni juu ya eneo la stendi ya magari, ambapo kwa mujibu Tabasam eneo hilo lilikuwa lilipiwe fidia ya Sh milioni 33, lakini kwa mshangao mkubwa fidia inayo daiwa kwa sasa imefikia Sh milioni 68.

Kutokana na tofauti ya maelezo, Waziri Jafo alisema: “ kutokana na tofauti zilizopo ni wazi kwamba wilaya hii inashida hivyo uongozi wa TAKUKURU Mkoa wa Mwanza lichunguzeni hili.”

Wakati Waziri Jafo akiendelea na ziara, yaliibuka madai ya matumizi yasiyo sahihi ya mashine za kukusanya mapato (POSS).

Ilielezwa mbele ya Mhe. Waziri Jafo kwamba, wapo watu wanaofuja fedha za umma kwa kutowasilisha fedha wanazo kusanya na hivyo kuishia mikononi mwa watu wachache wasio kuwa waaminifu, ambapo ilibainika jumla ya watumishi 10 wanahusika na sakata hilo.

 “Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa (John Mongella) wilaya yako ya Sengerema inamatatizo, kwa mkanganyiko huu ni wazi kwamba hapa Sengerema kuna shida, hivyo nauagiza uongozi wa TAKUKURU, mkoani Mwanza, uje hapa uchunguze katika maeneo yote ambayo yameonekana kuwa na shida na hatua stahiki zifuate kwa wahusika.”

Waziri Jafo yupo katika ziara ya kikazi katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Geita na Kagera, kwa lengo la kukagua shughuli mbali mbali za wananchi lakini pia kuzungumza na watumishi pamoja na wananchi kwenye maeneo hayo.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.