• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Waziri Bashungwa awakabidhi vitendea kazi Kailima & Dkt. Msonde amuaga Mweli & Mkama

Imewekwa tar.: May 23rd, 2022

Asila Twaha - TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent  Bashungwa  amewakabidhi vitendea kazi Naibu Katibu Mkuu - TAMISEMI  Ramadhan Kailima na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Elimu Dkt. Charles Msonde.

Makabidhiano hayo yamefanyika leo tarehe 23 Mei 2022 katika Ofisi  ya Rais -TAMISEMI yakishuhudiwa  na Menejiment ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI na Wakuu wa Taasisi zilizopo chini ya Ofisi hiyo.

Waziri Bashungwa amewakaribisha viongozi hao na kusema  wamekuja kwenye Treni iliyoko kwenye mwendokasi hivyo wanapaswa kudandia  na kuendelea na safari.

Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Ramadhan Kailima amesema  kuziimarisha Sekretarieti za Mikoa kutasaidia kuimarisha usimamizi wa majukumu ya Halmashauri hivyo ameahidi kusimamia eneo hilo kikamifu ili waweze kufanyaka kazi kwa kufuata miongozo, sheria na taratibu za Serikali.

Naye Naibu Katibu Mkuu Elimu Dkt.Charles  Msonde amewataka watumishi wa Ofisi ya Rais Tamisemi kufanyakazi kwa ushirikiano ilikuleta matokeo chanya katika Sekta ya Elimu hasa elimumsingi na kuaihidi kuendelea kuimarisha elimu nchini.

“Nimefurahi kuletwa sehemu ambayo viongozi wake wote tunafahamiana na tumefanya kazi kwa muda mrefu kwa umoja huu naamini tutaleta mabadiliko  katika sekta ya elimu  nchini” amesema  Dkt. Msonde

Kwa upande wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Elimu Gerald Mweli ambaye sasa amehamishiwa Wizara ya Kilimo ameushukuru uongozi wa TAMISEMI  na watendaji wake kwa kufanya kazi kwa ushirikiano kwa wakati wote aliokuwepo Ofisi ya Rais - TAMISEMI.

“Mafanikio yoyote yale huletwa kwa ushirikiano ninawashukuru sana viongozi na watendaji wote katika Sekretarieti  za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Maafisa Elimu Mikoa na Halmashauri nchini na niwaombe tuendelee kufanya kazi kwa bidii kwa maendeleo ya nchi” amesema Mweli

Katika Mabadiliko yaliyofanywa hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanAzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alimhamishia Bw. Ramadhan Kailima kuwa Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI kuchukua nafasi ya Dkt.Switbert Mkama ambaye alihamishiwa Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira.

Pia alimteua Dkt. Charles Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia (Elimu)  kuchukua nafasi ya Gerald Mweli ambaye amehamishiwa Wizara ya Kilimo kuwa Naibu Katibu.


Matangazo

  • Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu Juni 2023 June 05, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI APRILI, 2023 April 12, 2023
  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMUZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA - DODOMA

    May 31, 2023
  • MIKATABA YA UTEKELEZAJI MRADI WA UENDELEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM DMDP 2 YASAINIWA

    May 30, 2023
  • DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA ALAT

    May 30, 2023
  • WANANCHI KIJIJI CHA MAJALILA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA SHULE

    May 23, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.