• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Watumishi waaswa kuwa Waadilifu na Weledi kazini

Imewekwa tar.: September 7th, 2021

Na Fred Kibano na Mathew Kwembe Kilosa,

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe amewaasa watumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya kilosa kufanya kazi kwa weledi na kuwa waadilifu wanapokuwa wakiwahudumia wananchi katika ngazi mbalimbali.

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI prof. Riziki Shemdoe alipofanya ziara yake ya kikazi wilayani Kilosa hapo jana ambapo amewataka watumishi wa kada mbalimbali aliopata fursa ya kuongea nao kuwa waadilifu kwani wananchi wanawategemea sana watumishi kuwatumikia kwa maadili na weledi katika kazi zao ili kuwaletea maendeleo.

“tumekuja hapa kujadiliana mambo kadhaa ya kiutumishi tufahamu kwamba idadi kubwa ya watumishi wapo Ofisi ya Rais TAMISEMI na ukiangalia hapa tulivyo sisi ndio watumishi ambao wananchi wenzetu wanatutegemea sana, utendaji wetu sisi  utendaji wetu sisi ndio unaofanya  maendeleo yaweze kupatikana kwa hiyo utumishi wa Umma unataka kuwa mwadilifu, ukishakuwa mwadilifu hata mtu unaye muhudumia atafurahia huduma ya kwako”

Amewaasa watendaji hao kuwa waadilifu na kudumisha nidhamu kazini kwa kuwa hata wanapoonekana machoni pa wananchi waonekane waadilifu ikihusisha mavazi wanayovaa na ongea yao wanapowahudumia wananchi kwani watumishi ni mikono ya Viongozi na bila wao Viongozi hawawezi kuonekana wanafanya kazi.

Prof. Shemdoe ametoa kwa Halmashauri ya Kilosa kwa asilimia 84 ya makusanyo yao ya ndani lakini amesisitiza kuwa kazi hiyo itakuwa yenye manufaa endapo asilimia 44 ya makusanyo yote itapelekwa kwenye maendeleo yanayoleta tija kwa wananchi kam vile ujenzi wa shule, vyoo, vituo vya afya, miundombinu mingine na huduma za kijamii kwa wananchi.

Amewaasa pia watendaji wa Halmashauri ya kilosa kuopngeza wigo wa ukusanyaji wa mapato mwaka huu wa fedha2021/2021 kwa kufikia asilimia 100 ambayo ni shilingi bilioni 4 na pia kupeleka asilimia 44 kwenye miradi ya mandeleo na huduma za kijamii.


Kwa upande wake Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Bi. Mariam Ntunguja alimshukuru mgeni rasmi Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe kwa kufanya ziara yake yenye tija wilayani humo lakini ameahidi kusimamia ujenzi wa miradi ya elimu iliyopata fedha kutoka Serikali Kuu ikiwa ni pamoja na fedha za mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo (EPR) na ile ya ujenzi wa vituo vinne vya afya.

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya Kilosa Bw. Kisena Mabuba akiwasilisha taarifa yake kwa mgeni rasmi amesema mpaka sasa jumla ya shilingi milioni 369,712,046 zimetolewa kama sehemu ya asilimia 10 kwa ajili ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Fomu za kujiunga na Kidato cha kwanza 2024 December 16, 2024
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA UNUNUZI WA MAGARI YA WAGONJWA.

    May 12, 2025
  • Mhandisi Mativila aridhishwa Utekelezaji wa Miradi ya Barabara ya Mtili-Ifwagi na Sawala-Iyegeya

    May 11, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.