Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Watekelezaji wa Programu ya Kuimarisha Kada ya Ualimu watakiwa kusimamia utekelezaji wa miradi kwa wakati

Imewekwa tar.: September 28th, 2024

Na Fred Kibano, Morogoro

Naibu Katibu Mkuu ELIMU Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Charles Mahera Wilson amefunga   kikao kazi cha Watendaji wanaotekeleza Programu ya Kuboresha Kada ya Ualimu na kuwataka kusimamia ukamilishaji wa miradi kwa wakati.

Dkt. Charles Mahera Wilson ametoa kauli hiyo mapema leo tarehe 27 Septemba, 2024 mkoani Morogoro wakati akifunga kikao kazi cha kutathmini hali halisi ya utekekezaji wa Programu ya Kuboresha Kada ya Ualimu (GPE- TSP) kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2024/2025 katika ukumbi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi kilichopo Manispaa ya Morogoro ambapo amewataka Watendaji hao kusimamia na kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati pamoja na kuishirikisha jamii ili kuleta tija ya miradi. 

“Hakikisheni miradi inakamilika kwa wakati na kwa ushirikiano mkubwa na jamii inayozunguka ili iweze kuwa na tija na viwango hitajika na kuwasilisha taarifa zilizosahihi kila robo mwaka kulingana na matakwa ya Mfadhili wa Programu” alisema Dkt. Charles Mahera Wilson.

Aidha, amewataka kuhakikisha wanafanya maandalizi ya utekelezaji wa Programu kwa kufuata taratibu za uendeshaji wake, kufuatilia ahadi zilizowekwa na Wadau wa ndani, lakini pia kuweka Mpango wa Mafunzo ya Walimu Kazini (MEWAKA) kwenye mfumo wa kazi zinazotekelezwa (PEPMIS) kwa viongozi wa ngazi ya Mkoa, Halmashauri, Kata na Shule ili kiwe kigezo cha kipaumbele kwenye upimaji wa utendaji kazi lengo likiwa kusaidia kupata takwimu sahihi za walimu wanaoshiriki kwenye mafunzo kwa ngazi husika.

Naye Mwenyekiti wa kikao kazi hicho ambaye ni Mratibu wa GPE Mkoa wa Njombe mwalimu Leonard Msendo ameahidi kuzifanyia kazi changamoto zote zilizopo ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa za utekelezaji wa ahadi za wadau kama Wafadhiri wenza kwenye kipengere cha (Multiplier Grants) ili kuweza kupata kiasi cha Dola za Kimarekani 84.6 sawa na Shilingi Bilioni 212.3 kilichotengwa na Wafadhiri kwa Tanzania pamoja na uandaaji wa taarifa za utekelezaji wa Programu ya Kuboresha Kada ya Ualimu (GPE TSP).

Tanzania ni mshirika na mnufaika wa Mfuko wa Kusaidia Maendeleo ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education - GPE) tangu Mwaka 2013 ambapo Awamu hii ya Tatu Serikali itanufaika kwa kupata Dola za Kimarekani 84.6 kutoka GPE sawa na Shilingi Bilioni 212.3 ambao afua zake zinajikita kuboresha mambo mbalimbali yanayohusu kada ya ualimu kwa muda wa miaka minne kuanzia mwaka wa fedha 2023/24 hadi 2026/27.

Kikao kazi hicho kimehudhuriwa na baadhi ya Viongozi kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Waratibu wa Programu ya GPE Kitaifa, Viongozi kutoka baadhi ya Taasisi za Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Waratibu wa GPE TSP ngazi za Mikoa ya Tanzania Bara.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.