Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

WANANCHI WA RUHEMBE - KILOSA WAAHIDI KUITUNZA MIUNDOMBINU YA SHULE YA MIWA

Imewekwa tar.: February 20th, 2024

Na. Asila Twaha, Kilosa

Wananchi wa Kijiji cha Ruhembe, Halmashauri ya Wilaya ya  Kilosa Mkoani Morogoro wameiahidi Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuitunza miundombinu ya shule mpya ya sekondari Miwa iliyojengwa kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP).

Akizungumza Februari 20, 2024 kwenye ziara ya  Kamati hiyo kukagua ujenzi wa shule hiyo, Mwenyekiti wa Kijiji cha Ruhembe Abdallah Kambi  amesema "Kiukweli kwa sasa wananchi hatuna adha tena ya shule ya sekondari katika hiki kijiji tunamshukuru sana  Rais, Mhe. Samia Suluh Hassan kwa kuendelea kupambana kuwekeza miradi ya elimu."

Amesema hapo awali watoto wa kijiji hicho walikuwa wanapata changamoto ya kuenda shule sababu ni mbali na makazi na jiografia ya kijiji hicho kimezungukwa na mashamba ya miwa maeneo mengi yanaonekana  ni pori amesema njiani, kulikuwa kunatokea matukio mengi na hasa kwa watoto wa kike kufanyiwa vitendo vya kikatili.

Ameongezea kwa kusema watoto hao wa kike walikuwa   wanashindwa kumaliza shule  sababu ya changamoto zikiwemo za umbali wa shule waliokuwa wanaenda, kufanyiwa vitendo visivyofaa kama kubakwa, kupata mimba na mambo mengine ambayo yalikuwa ni changamoto kwa watoto hao wakike.

Naye, mkazi wa Kijiji hicho Fitina Nganywela amesema uwepo wa shule hiyo imewasaidia pia  wao kama wazazi kuwa na imani na watoto wao sababu shule hiyo ipo karibu na maeneo ya makazi ambapo ni rahisi hata kwa mzazi kumfuatilia mtoto maendeleo yake shuleni na mwenendo mzima wa elimu.

"awali watoto walikuwa wanatembea kilomita 21 kuifuata shule ya kidogobasi lakini kwa sasa shule hii kuengwa hapa imesaidia" amesema Nganywela

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka ameishukuru Kamati kuwa chombo cha wawakilishi kwa wananchi katika kuwasemea changamoto zao huku akiahidi kuendelea kushirikiana na wananchi hao katika uendeleza amani na maendeleo katika Halmashauri hiyo.

Shule hiyo ilipokea  sh. milioni 528  kwa maelekezo ya kujenga shule mpya ya sekondari Miwa kupitia mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP).

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • WAACHENI WATOTO WAENDE SHULE- RAIS SAMIA

    June 16, 2025
  • NIMESAINI NOTISI ZA KUVUNJA MABARAZA YA MADIWANI - MCHENGERWA

    June 15, 2025
  • MANYARA BINGWA RIADHA WASICHANA NA WAVULANA MITA 1,500

    June 15, 2025
  • MHE MCHENGERWA AWATAKA MA RC, DC KUONGOZA JOGGING KWENYE MAENEO YAO

    June 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.