Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Wafanyakazi Tamisemi washiriki maandano ya Amani kumpongeza Rais

Imewekwa tar.: January 7th, 2019

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wameshiriki maandamano ya amani ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli kwa kurudisha kikokotoo cha awali kwa mafao ya wafanyakazi.

Katika maandamano hayo Wafanyakazi wote nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kujituma ili kuleta chachu ya ufanisi katika kutekeleza  kazi zao.

Hayo yamebaishwa na Waziri Mkuu Wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa ambaye alikua mgeni rasmi katika maandamano hayo ya amani.

Mh Majaliwa amesema  kuwa tarehe 3  Januari 2018 bunge lilipitisha muswada wa sheria wa kuunganishwa kwa mifuko minne  ya pensheni na kuifanyia marekebisho sheria ya NSSF  lengo ni kupunguza gharama za uendeshaji wa mifuko hiyo.

Aidha, Mh Majaliwa amesema katika kujali maslahi ya wafanyakazi Mh Magufuli alisema vikokoto vilivyokuwa vinatumika awali virudishwe katika kipindi hiki cha mpito,  huku  mjadala  wa kusuburia kupata muafaka wa kikotoo sahihi kitakachotumika.

“Kikubwa niutake uongozi wa Wafanya kazi Nchini kushirikiana na mamulaka husika ili kuhakikisha wafanyakazi wanapata huduma bora kutoka katika mifuko hii” Amesema Majaliwa

Kwa upande Waziri mwenye dhamana ya sera, Bunge, Kazi, Vijana,  Ajira Na Walemavu  Mh Jenista Muhagama amesema kuwa  hivi karibuni ameanza kutilia mkazo maagizo na maelekezo ya Mh Rais Magufuli huku wakifanya zoezi la kukagua Mikoa yote ili kuhakikisha watendaji wa mifuko ya kijamii hawapotoshi maagizo hayo.

Naye katibu mkuu wa chama cha wafanyakazi TUCTA ndugu Yahya Msigwa amesema amempongeza Rais Magufuli  kwa kusikiliza kilio chao, zoezi ambalo limeanza  tangu mwaka 2008  na kuamuru mchakato wa kuunganishwa mfuko kuanze mara moja.

“Lengo lakuomba kuunganisha mifuko ni kupunguza ghalama za uendeshaji, kudhibiti matumizi mabaya ya fedha katika mifuko hii na kuondoa hali ya kugombania wanachama wa mifuko na kuifanya kama biashara” Amesema Msigwa.

Ikumbukwe mwishoni mwa mwaka jana 28 Disemba 2018, Rais Magufuli alikutana na viongozi wa vyama vya wafanya kazi nchini na kujadili masilahiya mafao yao na mwisho wa kikao hicho aliamua kikokotoo kibaki kama kilivyo kuwa awali mpaka hapo mbadala utakapo patikana 2023.



Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA KUFANYIA BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA  

    June 02, 2025
  • Serikali yatoa Tsh. bilioni 30 kuwezesha ujenzi wa vituo vya afya kata za kimkakati

    June 02, 2025
  • SANAA ZA MICHEZO ZINAPEWA KIPAUMBELE KATIKA UMITASHUMTA & UMISSETA 

    June 02, 2025
  • UMITASHUMTA & UMISSETA 2025 KUFANYIKA KITAIFA MKOANI IRINGA.

    May 31, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.