Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

VIFO VYA WANAFUNZI ARUSHA WAZIRI MCHENGERWA ATOA POLE NA AGIZO KWA WAKUU WA WILAYA.

Imewekwa tar.: April 13th, 2024

Na OR-TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI  Mohamed Mchengerwa amewaelekeza maafisa elimu nchi nzima kuwaelekeza wakuu wote wa shule na walimu wakuu kwenye maeneo yao kuwaangalia wanafunzi hususani katika kipindi hiki cha mvua  ili kuepusha majanga yanayoweza kuepukika.

Waziri mchengerwa ametoa kauli hiyo mapema leo April 13, 2024,  ikiwa ni siku moja tu tangu kutokea kwa ajali ya gari la shule ya msingi Ghati Memorial Arusha inyodaiwa kusababishwa na ukaidi wa dereva wa gari hilo aliyediriki kukatiza katika mfereji wa maji na kusababisha gari kusombwa na maji hatua iliyo sababisha vifo vya wanafunzi.

Kufuatia ajali hiyo Waziri Mchengerwa ametoa pole kwa shule na familia kufuatia kuondokewa na wanafunzi hao katika mazingira yanayo ashilia uwepo wa uzembe ambao ungeweza kuepukika.

Waziri Mchengerwa amesema katika kipindi hiki cha mvua ni vyema Wakuu wa wilaya wakisisitiza ulinzi wa Watoto kwenye maeneo yao kuanzia kwa maafisa elimu wa wilaya na kata, walimu, wazazi na walezi.

Waziri Mchengerwa ametao kauli hiyo wakati akipokea misaada ya kibinadamu yenye thamani ya Shilingi milioni  70  kutoka kwa Kampuni ya ASAS na Kampuni ya ORYX kwa ajili ya kuwafariji waathirika wa mafuriko wilayani Rufiji Mkoani Pwani.

Misaada hiyo ni Mchele tani 10, Unga wa sembe  tani 10,lita 3,000 ya mafuta ya kupikia pamoja na Maziwa lita 1000  Mitungi 300 ya gesi mikubwa na midogo pamoja na majiko yake.

"Kwa niaba ya wananchi wa Rufiji tunawashukuru kwa msaada huu ambao tunaamini unakwenda kuwasaidia waathirika "Amesema Mchengerwa.

Ameongeza kuwa "Sisi Rufiji tuna mafuriko lakini mikoa mingine pia kama Lindi, Arusha na Songwe nayo tunashuhudia inavyo athiriwa na mvua hizi zinazoendelea kunyesha, hivyo niwaombe wasamalia wema tuendelee kuwashika mkono wale wote waliopoteza mali na ndugu katika kipindi hiki kigumu cha mafuriko na tuendelee kuwa watulivu huku tukiliombea taifa kuendelea kushikamana katika shida na raha.

Kwa upande wa Meneja mauzo wa kampuni ya ORYX ,Shaban Fundi pamoja na Meneja mwendeshaji wa kampuni ya ASAS, Abdalatif Ali, wamesema msaada huo ni sehemu ya pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.