Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Ustawi, Amani na Usalama wa wananchi unawategemea nyinyi – Mhe. Kiswaga

Imewekwa tar.: August 9th, 2024

Na Fred Kibano, Arusha

Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mheshimiwa Festo Kiswagwa amewataka Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata mkoani Arusha kuimarisha utulivu na usalama kwenye maeneo yao kwa ustawi wa jamii isiyo na migogoro. 

Mheshimiwa Kiswaga ametoa kauli hiyo mapema leo tarehe 9 Agosti, 2024 Jijini Arusha wakati akifunga mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata Mkoa wa Arusha kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Paul Makonda.

“ustawi wa wananchi katika maeneo yenu unawategemea sana nyinyi, ukweli ni kwamba shughuli nyingi za Serikali zinatekelezwa katika ngazi za chini ambako nyinyi mpo, hakuna kisichokuhusu, kaimarisheni amani, usalama na utulivu badala ya nyinyi kuwa visababishi vya wananchi kukosa imani kwenu.” alisema Mhe. Kiswaga.

Amesema kila Mtendaji wa Kata anapaswa kuvijua vijiji vyake vyote ili kuweza kusimamia ama na utulivu wa eneo lake kwani jukumu la ulinzi na usalama ni la Mtendaji wa Kata kwa zaidi ya asilimia 80 kabla halijafika ngazi yoyote lakini pia watatue migogoro yote kabla uvunjifu wa amani haujatokea huku wakiwashirikisha wananchi.

Naye Ibrahim Minja Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema lengo la mafunzo kwa Watendaji na Viongozi hao ni kuwajengea uwezo ili kuimarisha utendaji wao wa kazi ngazi ya msingi na awamu hii ya mwisho kutolewa mafunzo hayo inahusisha mikoa nane ya Manyara, Arusha, Mbeya na Ruvuma ambayo mfunzo yamekamilika na yataendelea katika mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Morogoro na Iringa ambapo Maafisa Tarafa 203 na Watendaji wa Kata 1,377 watapatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo.

Bi. Tatu Furahisha ni Afisa Tarafa ya Kisongo Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutenga bajeti ya mafunzo na kwamba mafunzo hayo yatamsaidia kujiamini katika kutoa huduma bora kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kutoa maelekezo sahihi katika ngazi ya msingi kama kubuni miradi endelevu, utatuzi wa kero na ukusanyaji wa mapato ya Serikali katika ngazi ya msingi.

Mafunzo hayo ya siku mbili yametolewa na Ofisi ya Rais TAMISEMI kupitia Programu ya Uimarishaji wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Regions and Local Government Strengthening Programme-RLGSP) kwa kushirikiana na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo pamoja na Chuo cha Utumishi wa Umma ambapo kwa mkoa wa Arusha jumla ya washiriki 180 ambao ni Watendaji wa Kata 156 na Maafisa Tarafa 23 wamepatiwa mafunzo hayo ili kwenda kuimarisha utendaji wao wa kazi katika ngazi ya msingi.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.