Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

UKISHINDWA KUSIMAMIA KUSOMA, KUANDIKA NA KUHESABU JITATHMINI HAUTOSHI - DKT. MSONDE

Imewekwa tar.: January 5th, 2023

Na. Asila Twaha, TAMISEMI


Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  anayeshughulikia Elimu Dkt. Charles Msonde amewataka  viongozi  wanaosimamia elimu  katika Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa kujitathmini katika ufuatiliaji wa mwenendo wa elimu kwa watoto kwa kujua kusoma,kuandika na kuhesabu wanaomaliza elimu ya msingi.

Dkt. Msonde ameeleza hayo  tarehe 4 Januari, 2023  katika Kikao kazi cha Maafisa Elimu wa Mikoa, Wilaya, Taaluma na Watu Wazima kilichofanyika Dodoma.

Amesema kutokana  na tabia ya baadhi ya viongozi kusahau majukumu yao kwa kutowafuatilia walimu sehemu zao za kazi na kushindwa kufanya kazi kwa waledi, inapelekea kutokuwepo kwa ufanisi  katika kazi na matokeo yake kusababisha kutopatikana kwa elimu bora na watoto kumaliza elimu ya msingi kushindwa kusoma, kuhesabu na kuandika.

Aidha, amewataka viongozi hao kutokubali kukabidhiwa watoto kuanzia darasa la awali kutoka kwa wazazi/walezi na  kisha mtoto huyo  amalize darasa la saba kwa kutokujua kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK).

“Hilo halitakubalika baadhi ya watu waharibu mipango na malengo ya Serikali, haiwezekani mtoto anamaliza darasa la saba hawezi kusoma, kuhesabu na kuandika ingelikuwa ni mtoto wako kama mzazi utajisikiaje kama kiongozi uliyepewa dhamana ikitokea hivyo maanake jitathmini hutoshi” amesisitiza Dkt. Msonde

Amewataka viongozi hao kutojikweza kwa uongozi na madaraka sababu sio lengo la Serikali bali lengo ni kwenda kushirikiana na walimu kwa kuwafuatilia na kujua changamoto kwa pamoja na kuzipatia ufumbuzi na sio kuwakatisha tamaa walimu.

Dkt. Msonde amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kujenga na kuboresha elimu nchini pamoja na kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia Januari, 2023 watoto wengi wataingia shule fedha zilizotolewa za ujenzi wa madarasa 8000 asilimia 96 yamekamilika tushirikiane na jamii ili  watoto hao waliochaguliwa waingie shuleni.

“Tuna walimu wazuri wakihamasishwa  kwa kupewa motisha, ari na hamasa ya kufanya kazi tutakuwa na taifa bora sababu wataalamu wetu wengi wanatokana  na walimu ” Dkt. Msonde

Kwa upande wake Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Bi. Paulina Nkwama amewataka viongozi hao kusimamia misingi ya utumishi wa walimu katika kuwafuatilia maadili  na utekelezwaji wa majukumu yao ikiwemo suala la ufuatiliaji wa utoro wa walimu ambao unazorotesha elimu na kama walimu watakuwa vizuri kwa kutekeleza kwa ufanisi, waledi na ubunifu tutakuwa na watu wenye elimu bora nchini.

Naye Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Elimu Ofisi ya Rais- TAMISEMI Bw. Vicent Kayombo ametoa rai kwa viongozi hao kwenda kuyasimamia  na kuyatekeleza maelekezo waliyopangiwa na viongozi hao sababu wameaminiwa na ni jukumu lao kusema wanaenda kuleta mabadiliko ya elimu kwa maslahi ya taifa.

Katika hatua nyingine, Dkt. Msonde amewataka viongozi hao kusimamia kwa kuwaandaa watoto kuanzia darasa la Awali  ili wanapofika darasa la nne na saba wafanye vizuri zaidi na sio kuwaacha mpaka wafike madarasa hayo ndio watumie nguvu kubwa.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.