Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

UHUISHAJI WA MIPANGO YA KIMKAKATI KWENYE MIKOA NA HALMASHAURI HUSAIDIA SERIKALI KUFIKIA MALENGO - MTWALE

Imewekwa tar.: December 18th, 2023

Na. Asila Twaha, Morogoro

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia masuala ya TAMISEMI Bw. Sospeter Mtwale amewataka Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa sehemu ya Mipango na Uratibu kufanya uhuishaji wa Mipango Mikakati ya Mikoa na Serikali za Mitaa ili isaidie Serikali kuendelea kupanga mipango ya maendeleo  kwa wananchi.

Mtwale ameyaeleza hayo leo Disemba 18, 2023 Mkoani Morogoro wakati akifungua mafunzo ya Kuhuisha Mpango Mkakati (Strategic Plan -SP) wa Taasisi kwa  Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa sehemu ya Mipango na Uratibu katika Mikoa na utekelezaji wa majukumu ya kila siku.

Mtwale amesema uzoefu umeonesha uwepo wa matumizi ya Mipango Mkakati ambayo haihuishwi kwa wakati na baadhi ya Mikoa na Halmashauri hivyo, kusabisha changamoto mbalimbali katika Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya kila mwaka kukosa mwelekeo na mkanganyiko ndani ya Mkoa na Halmashauri.

“Bila Mpango Mkakati uliohuishwa watumishi na wadau ndani ya Mkoa au Halmashauri wanaweza kuandaa mipango yenye mwelekeo tofauti hivyo, kutokuwa na manufaa yanayoonekana” amesema Mtwale

Aidha, amesema kuwa na mipango mkakati iliyopitwa na wakati na takwimu zilizopitwa na wakati  haiwezi kuendana na malengo ya sasa ya Mkoa au Halmashauri kwani italeta hali ya kutofautiana kwa vipaumbele na kurudisha nyuma juhudi za kuwaletea wananchi maendeleo.

Aidha, Mtwale amewasisitiza maafisa  hao kufanya kazi kwa ufanisi hali wakitumia Mpango Mkakati uliohuishwa ambao unaoweza kujipima kila wakati kuona kama  malengo yaliyowekwa  yamefikiwa.

Kwa upande wa Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Rais -TAMISEMI Bw. Johnson Nyingi amesema, mafunzo hayo ya siku mbili yatakwenda sambamba na kujifunza Muundo Mpya wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mikoa, na Halmashauri mwaka 2022, Changamoto za Muundo Mpya wa Ofisi za Wakuu wa Mikoa na MSM, Muundo, Mchakato/Hatua na Vigezo katika Uandaaji wa Mipango Mikakati ya Taasisi na Uhuishaji wa Mipango Mikakati ya Mikoa kwa kuzingatia Muundo Mpya wa Mikoa.

Naye Katibu Tawala Msaidizi, Mipango na Uratibu Mkoa wa Dar es Salaam, Chillah Mosses ameishukuru Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa kuendelea kutoa mafunzo akielezea kuwa mafunzo husaidia kuongeza ujuzi na kuboresha utendaji kazi katika majukumu ya kazi na kuahidi kuyafanyia kazi yale yote waliyoelekezwa kwa manufaa ya wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.