Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

TUZO ZA UBORA WA ELIMU MWAKA 2023

Imewekwa tar.: December 4th, 2023

OR - TAMISEMI

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa mara ya kwanza imeanza kutoa Tuzo za Ubora wa Elimu Mwaka 2023.

Tuzo hizi zinatolewa mara baada ya Mkurugenzi wa Elimu kusaini makubaliano na Maafisa Elimu Mikoa kwenda kutekeleza maazimio yaliyokubaliwa ya kuboresha elimu mwaka 2023.

Katika makubaliano hayo, viliwekwa vigezo vya kiutendaji ambavyo vinahakikisha changamoto za elimu zilizobainishwa zinatatuliwa kama vile Kuandika, Kusoma na Kuhesabu kwa wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili, Umahiri wa Stadi za Kiingereza kwa wanafunzi wa darasa la tatu na kidato cha kwanza, usimamizi wa mwongozo wa chakula shuleni pamoja na kuhakikisha fedha zinazopelekwa kwenye halmashauri zinasimamiwa ipasavyo na miradi inakamilika kama ilivyokusudiwa.

Tuzo hizi zimeangalia halmashauri na shule zilizosimamia vyema ujenzi wa miundombinu ya shule za awali, msingi na sekondari kupitia miradi ya BOOST na SEQUIP.

Hapa imeangaliwa halmashauri hususani shule zilizokamilisha ujenzi wa miundombinu hiyo kwa mujibu wa miongozo, muda uliotolewa na fedha zilizotengwa bila kuongeza fedha nyingine.

Tuzo ya pili imetolewa kwa mikoa iliyofanya vizuri zaidi kitaifa kwenye kusimamia utoaji wa chakula shuleni.

Hapa imeangaliwa ile mikoa iliyotekeleza agizo la Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI katika utoaji wa chakula cha mchana shuleni ili kuimarisha lishe kwa watoto na kuongezea utulivu kwa wanafunzi wanapoendelea na  masomo yao.

Tuzo ya tatu imeelekezwa kwa halmashauri za Mkoa wa Pwani zilizofanya vizuri kwenye umahiri wa wanafunzi katika vigezo vya Kusoma, Kuandika na Kuhesabu kwa wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili, umahiri wa kuzungumza Lugha ya Kiingereza kwa wanafunzi wa darasa la tatu na Kidato cha kwanza.

Katika kipengele hiki, Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliamua kuainisha shule na wanafunzi bobezi wa Mkoa wa Pwani  waliofanya vizuri katika katika vigezo hivi.

Lengo la kutoa tuzo hizo katika tamasha hili la kumbukizi za Bibi Titi Mohamed ni ishara ya kutambua juhudi zinazofanywa na viongozi wa elimu kuanzia ngazi ya mkoa, halmashauri, kata na shule katika kutekeleza mikakati iliyowekwa.


Aidha, tuzo hizi ni chachu ya kuhamasisha kila msimamizi wa elimu aweze kuhakikisha anasimamia ipasavyo eneo analoliongoza ili tija ipatikane.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Msovela: Fanyeni Kazi Kama Timu Kuleta Maendeleo

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.